TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

eti jaman ! kuna DK aliwah semaga mwanamume akitulizwa HUTULIA !ila mwanamke hatulizwi had atulie mwenyew !huo msemo huwa una ukweli sana san !huwez mtuliza mwanamke aliyejichokea ! ila mwanaume anaweza tulizwa
Nilimsikia ila nikaona kama nae ana porojo tu(sijui kwanini) mie huwa naona binadamu yeyote hatulizwi bali anaamua kutulia mwenyewe.
 
Anapost nini???
 
Tena mizigo ya wanawake naona kama imezidi zaidi jamani.
 
Marehemu kwanini hukuhama hata mkoa kuliko kunywa sumu, ata diamond alisema angehama Dar kwa ajili ya mapenzi ktk wimbo wake wa mbagala. Kunywa sumu ni uamuzi mgumu sana, tukija upande wa Mungu dhambi ya kujiua ni moja kwa moja jehanum maana kujiua kwa kukusudia kabisa hakuna nafasi hata ya wewe mwenyewe kujiombea rehema kwa Mungu.

Mungu awape faraja familia ya marehemu, daaaah hizi ndoa hiziiiiiiii.
 
Nilimsikia ila nikaona kama nae ana porojo tu(sijui kwanini) mie huwa naona binadamu yeyote hatulizwi bali anaamua kutulia mwenyewe.

hamna espy !mwanaume unaweza mtuliza shoga tena kiwepesi tu !mwanamke ngumu sana
when a' woman is fed up' unaukumbuka huu wimbo
 
R.IP
Yona Maro!
Kuna Kitu Najiuliza
Huwa Ana Mtandao Wake unaitwa Wanabidii Huko watu Hujimwaga wazi wazi especially Mambo Ya Siasa!
Ni Balaa Hakuna MTU Maaefu Unaweza Kumkosa Huko!
Sasa Sijui Bado Huo Mtandao Una Exist?
Sijui Kifo Chake Kimetokana Na Nini Na Kwa Nini Aliwahi Fungwa Miezi 2 jela!
Ni Maswali MTU Unajiuliza!
 


ina maana hujasoma chanzo cha kujiua? dah !kweli trump hajakosea
 
hamna espy !mwanaume unaweza mtuliza shoga tena kiwepesi tu !mwanamke ngumu sana
when a' woman is fed up' unaukumbuka huu wimbo
Kuna mwanaume aliwahi sema kuwa upuuzi anaofanya has nothing to do with his wife kabisaaa tena akasema ana mke mwema mpaka wakati mwingine anajisikia vibaya ila ndio hivyo tena. Nafikiri huwa tunajiaminisha na kujipa matumaini yasiyo ya kweli. Unamtuliza vipi mtu asotaka kutulia!!!

Atahangaika siku akiamua atatulia mwenyewe. Hapo unajikuta kujipa moyo unadai umemtuliza wewe!! Umemtulizaje wakati kahangaika kaja kutulia at his 60's!!!

Mfano mzuri ni watu ea pwani, wao ndio makungwi na hujitanabaisha kuwa wanajua kutuliza waume zao. Ila shuhudia ndoa zao zinavyovunjika sasa!!!
 
Kama kuna mwengine ana mawazo kama ya marehemu asifanye hivyo humkomoi mkeo/mmeo unajikomoa mwenyewe kujiua ni kosa kidunia na pia katika maisha ya kesho
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala anapostahili.
Poleni wafiwa
 


hahahaa watu wa pwani ni kwel weng wamechana!haya mambo bwana
 
Haya mambo hasikie tu. Binafsi nimeyakataa muda mrefu sana,mwanamke kuniendesha au kunipanda kichwani. Mwanamke kama umempenda na ukampeleka kanisani au msikitini then akaanza kuzingua kwa namna yoyote ile,mrekebishe kwa upendo mkuu ila kama habadiliki piga chini.

Haina haya yakuwaumiza watu wakupendao toka asili yako-baba na mama yako na wadogo zako kisa lipumbavu limoja ulilokutana nalo ukubwani tu.

Binafsi najua situations kama hizi kwakuwa nilishaoa ila pale mke alipojihisi anaweza kunikunja,kunifokea fokea,kununa,kunijibu madharau-nilisharudisha kwao huko migombani.

Nalea wanangu mwenyewe,naishi kwa amani. Watoto wangu ni faraja kwakweli.

R.I.P brother,mwanamke sio baba yako.
 
Hivi ukiungama alafu ukajitoa roho ndio umefuta dhambi au umejiongezea dhambi?
No nazungumzia pale ambapo roho ilikuwa inachomoka hatua za mwisho
pengine aliungama dhambi zake huyu jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…