TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Amen Asante Sana kwa ushauri mzuri
 
huyu dogo namfahamu na nimekutana naye maeneo mengi sana, alikuwa mpole hadi unaweza kumuogopa, na binafsi kabla sijamfahamu nilikuwa najua atakuwa TISS kwasababu maeneo mengi naenda kufanya shughuli ya muhimu sana namkuta yupo, peke yake, mkimyaaa, haongei na mtu yuko kivyake tu, sijawahi kumuona anacheka..mimi namfahamu lakini yeye nafikri alikuwa ananijua kwa sura tu ila hanijui wakati mimi namfahamu mno na nimemfuatilia mno kwenye mitandao kumjua ni nani na anafanya kazi gani. watu wakimya ni wa kuwasaidia sana aisee.
 
Until we take our final breath you will live in our heart, your love will light our way. Your memory will forever be with us. Every step we take, every move we make, every single day and every time we'll be missing you!

R.I.P brother!!
Umenikumbusha mbali sana hayo mashairi. Duh RIP BIG
 
RIP bro. Ni mmoja kati ya followers wangu huyu.
Maskini Yona Fares Maro, pamoja na muda mwingi kushinda kwenye mitandao kumbe ulikuwa bado huju jinsi ya kumiliki hasira zako. RIP bro.
Ungelalamika kabla ya kujiua, ningekushauri hivi:-

Gawa mapenzi yako katika mafungu matatu:-#

1: Mkeo.....mpe 50% ya mapenzi yako. Never ever give a 100% ya mapenzi yako.
2: Ndugu zako wa damu...wape 30% ya mapenzi yako, kwa sababu mkeo akikukera unaenda kupata faraja kwa Ndugu z ako.
3: Mchepuko na watu wengineo plus mitandao-ipe 20% ya mapenzi yako. Ili, kama ukikerwa na wife unaingia mitandao na kuanza kujichatisha. Na kama vipi, unatafuta Chepuko lako na kupunguza pressure yako. life goes on.

Ndio maisha ya mapenzi yalivyo.

Sitegemei na wala sintompenda mtu kwa asilimia 100%. Naogopa kupatwa na ya Yona.

Otherwise RIP Bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…