Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndikumana alikunywa sumu au alikufa kifo cha kawaida ?Atasahau na ataishi kwa amani mbona Uwoya anadunda tu wakati amemuua kijana wa watu
Ndiku alikufa kwa depression(sononeko) alikua anampenda mke wake sana kama ulimfuatilia kuna kipindi alikua anaandika vitu vya ajabu kumlalamikia Irene Insta na akina Wolper wakamtukana sanaNdikumana alikunywa sumu au alikufa kifo cha kawaida ?
Tena hawakuwa pamoja walikuwa washaachana kitambo wakati ndiku anakufa
Malipo hapa hapa dunianiNdiku alikufa kwa depression(sononeko) alikua anampenda mke wake sana kama ulimfuatilia kuna kipindi alikua anaandika vitu vya ajabu kumlalamikia Irene Insta na akina Wolper wakamtukana sana
Karma is a bi,tchMalipo hapa hapa duniani
Vitu vingine unaweza usitegemee kwa mtu smart kama Yona ....sijui ndio pepo la mauti! Dah
Inawezekana ni makosa ya duniani ya kuwa bize na kusahau majukumu mpaka Eng... Analiwa na Eng. Ri. PYona alikuwa very very very smart kichwani, sijui imekuwaje jamani. Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele.
Kwenye majaribu shetani naye hutafuta mwanya wakutuangamiza, kujitegemeza kwa Mungu kwafaa sana kila wakati.Yona alikuwa very very very smart kichwani, sijui imekuwaje jamani. Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele.