TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Ugonjwa wa kupenda ni mbaya sana. Mimi kuna mwanamke mmoja kutokana na ugonjwa wa kupenda amechukua fedha zake akawekeza kwangu millions na mimi kusema kweli kila nikijitahidi nimpende nashindwa yan sometime namuomba Mungu anishushie upendo nimpende tu lakini daah namuachia Mungu.

Sasa huko kwenye mitandao naye kawa kama chizi hadi sometime namuita home kumtuliza ila sijui nitafanyeje kumpenda jamani jamani! Kuna muda natamani hata aniendee kwa mganga basi nimpende tu! Mwanamke ana elimu nzuri ya masters. Umbo zuri nilimkuta bado hajatumika ila upendo kweli nasema kutoka moyoni haupo haupo haupo. Ee Mungu nisamehe tu kwa dhambi hii ila sitaki nimuweke kwangu kisha nianze kufanya mambo ya ajabu maana simpendi na nimeshindwa hata kudanganya upendo.

Hata huyu jamaa aliyejiua naona mwanamke hakumpenda ila alilazimisha tu. Aisee usiombee uwe na moyo huo!
Dah sasa si umuambie ukweli tu jamani,hapo anatumaini kumbe hata haumpendi.Mwambie ukweli bwana maana kadri muda unavyozidi kuenda ndo na yeye pendo lake linaota mizizi zaidi.
 
Alikuwa mwanafunzi wangu ..kwa bahati mbaya he was the best person but not the right one..after psych analysis on him nikajiridhisha hawez kukontrol hasira...na pia uoga (cant resist interrogation)... etc..
Poleni sana wafiwa..
Really?
 
Sijui kipi kati ya haya kilikuwa kigumu

Kumuacha huyo mke mtata

Au utaratibu wa kumuacha ulikuwa unachukua muda mrefu pia ushahidi kulingana na imani ya dini ya muhusika

Au ni mapenzi ya kuona hawezi kuishi bila huyo mke na labda kuwa na watoto

Maana mimi nayaona mapenzi/ndoa kama yakiwa yamefikia mwisho ni kuachana tu, ni kama kiti cha basi unashuka afu abiria mwingine anapanda kukalia kiti hicho na pia katika mahusiano haipendezi kuwa hasi lkn tuwe tu na mategemeo wapenzi wetu wanaweza kwenda kinyume na kiapo cha ndoa/uhusiano na tujiandae kisaikolojia ikitokea hivyo sio kumuamini mtu na kuenda mazima

RIP Kamanda mbele yako nyuma yetu
 
Ugonjwa wa kupenda ni mbaya sana. Mimi kuna mwanamke mmoja kutokana na ugonjwa wa kupenda amechukua fedha zake akawekeza kwangu millions na mimi kusema kweli kila nikijitahidi nimpende nashindwa yan sometime namuomba Mungu anishushie upendo nimpende tu lakini daah namuachia Mungu.

Sasa huko kwenye mitandao naye kawa kama chizi hadi sometime namuita home kumtuliza ila sijui nitafanyeje kumpenda jamani jamani! Kuna muda natamani hata aniendee kwa mganga basi nimpende tu! Mwanamke ana elimu nzuri ya masters. Umbo zuri nilimkuta bado hajatumika ila upendo kweli nasema kutoka moyoni haupo haupo haupo. Ee Mungu nisamehe tu kwa dhambi hii ila sitaki nimuweke kwangu kisha nianze kufanya mambo ya ajabu maana simpendi na nimeshindwa hata kudanganya upendo.

Hata huyu jamaa aliyejiua naona mwanamke hakumpenda ila alilazimisha tu. Aisee usiombee uwe na moyo huo!

she is above 30,and she is desperate for marriage,jidanganye anakupenda lol
 
Jaman apumzike kwa amani!!......duh!!! Ndio maana nimechagua kuwa mwenyewe mwenyewe,
 
Asante. Ila nina maumivu sana kwenye moyo wangu. Haya mambo yasikie tu. Bado napambana na hali yangu. Naomba uwe mke mwema kwa mumeo maana mke akikuvuruga ni rahisi sana kuharibu mambo mengine.
Amen, asante kwa maombi yako,
Bt rudi kwa Mungu omba anasikia hawez kukuacha na maumivu ataingilia kati
 
Dah sasa si umuambie ukweli tu jamani,hapo anatumaini kumbe hata haumpendi.Mwambie ukweli bwana maana kadri muda unavyozidi kuenda ndo na yeye pendo lake linaota mizizi zaidi.
Namuonyesha kabisa kuwa simpendi maana niliwahi ku sex naye mara moja tu.. Ni mwanamke mzuri ila kusema kweli mwanamke mweupe simpendiiii maana dada zangu ni weupe so nahisi kama tu nipo na dada yangu. Namuonyesha kuwa simpendi na anajua kabisa na aliwahi kuniambia kuwa ataniendea sijui kunisomea ibada. Muda mwingine ananiambia kabisa ni bora nisikuone duniani ili nijue kuwa haupo.

Juzi hapa kaniambia anapeleka sadaka ya mshahara wake wote wa mwezi kwa mchungaji kwa ajili yangu ila hakuniambia anaenda kunifanyia nini! Tatizo ni huko kwenye mitandao nikisoma anavyo post hadi naingiwa woga. Najuta kwanini nilimu approach nilipokuwa mbali na mpenzi wangu wa kweli ambaye anarejea karibuni! Najuta sana sana.
 
Huko kwenye mitandao anakupost?Nae ni king'ang'anizi ila subiri akutegeshee mimba ndo utaisoma number.
 
she is above 30,and she is desperate for marriage,jidanganye anakupenda lol
Nikueleze tu ukweli hawezi kuwa above 30 wakati mimi mwenyewe ndo kwanza naingia huko....Yupo kwenye mwanzoni kabisa mwa miaka 25 yrs
 
Huko kwenye mitandao anakupost?Nae ni king'ang'anizi ila subiri akutegeshee mimba ndo utaisoma number.
Hawezi kunitegeshea mimba maana simpendii hivyo nilisex naye kwa tahadhari....Huko kwenye mitandao ana post maneno ya kuhuzinisha na kusononesha sana huwa hani post ila anavyo post ni kama mtu anayelilia kitu sana. Ndiyo maana nikatamani hata basi Mungu anishushie moyo wa upendo basi yaishe.
 
Yaani mtu atumie papuchi yake mwingine ajiue ?
Binadamu tupunguze ubinafsi(umimi)
Kuamini mtu mkioana umemfunga matanio na mawazo mengine.
Ni kuchukulia lolote laweza kutokea

hahahaha naogopa kuongezea comment yako imenisikitisha sana ! sometimez shit may happen ila sijiui aisee!yaan mwanamke kuchelewa kurud ujinige? no way
 
Back
Top Bottom