TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Rip

Wakati mwingibe bi vyema kumuacha aende.....

Ugali mtamu hata kama vyuma vimekaza
 
hongera sana kwa kujitambua !
 
Kama haumpendi humpendi muache tu.Yaani ukate mawasiliano nae.Mimi pia ni mweupe ningepropose,hahahahahah.
 
Tabia ya kukaa na matatizo moyoni mbaya sana, bora angeachana na huyo mwanamke kila MTU akashika 50 zake jamani.
kwanza moyo unajikuta unaungua kila siku roho inakuwa nyeusi mie nasemaga bora to speak it out !nashangaa wengi sana wanaponda ohh tunasema ya ndoani !mie nitasema siku na wakati wowote ule nikiamua !inasaidia mno mno !
 
Ukiona mwanamke ameanza kuchepuka ndugu yangu ujue huna miaka mitano mbele, Either atakuua au utakufa kutokana na msongo wa mawazo.. Ushauri ni bora ukaachana nae na kuendelea na ishu nyingine halafu kwa nini mjini wamama wenye nyumba ni wengi?

hahaha nimejikuta nacheka kama mazuri dah !wanwake mnatupa sifa mbaya sana !
 
Kumbe ule utafiti unaosema wanaume wengi hufa mapema kwa msongo wa mawazo ni kweli..kwa hili naona marehemu ameshindwa kuvumilia kuumia ameamua ajimalize pole yao familia
Kinachowamaliza ni kuweka vitu ndani hivyo vinakuwa vinawamaliza taratiiibu. Ukute kazini stress, familia nayo stress, akirudi nyumbani napo stress. Hilo bomu linalojipika siku likilipuka ndio kama haya.

Mke ana nafasi kubwa mno ya kumsaidia mumewe.
 
Sio wote wanaoweza kuchukua maamuzi kama yako, wengine ndio kama huyu sasa. Too bad[emoji134]
 
Kama haumpendi humpendi muache tu.Yaani ukate mawasiliano nae.Mimi pia ni mweupe ningepropose,hahahahahah.
Aah weupe wako siyo mkali kama ule ninaouchukia..Mimi mwenyewe ni mweupe ila "Simple white" Ule weupe uliokolea ndo siutaki halafu nilishawahi kuandika humu kuwa wanawake wafupi mimi sijawahi kuwapenda..Mwanamke anakufikia chini ya bega sasa wapi na wapi? Yani ukute wewe ni mweupe halafu ni mfupi hata kama una neema za sheikh Kipoozeo kwangu ng'oooo sasa huyo ana sifa hizo! Mimi ni mrefu tena above the wastani sasa mwanamke mfupi nakuwa namiangalia kwa chini! Sipendi.
 
Daahh mdau

Yaani ninyi viumbe siwaamin milele mwanzo wa ulimwengu tuu mlidanganyika
Hakika sintooa cha msingi ni watoto tuu ninyi kupiga tuu
Hao watoto unawapataje,utawaleaje,utawafunza nini?!!!!
Hilo nalo bomu lingine unalitengeneza, as if nyie wanaume ni wema au malaika vile. Maisha lazima yaendelee, hayo mengine ni changamoto tu na funzo.
 
Kinachowamaliza ni kuweka vitu ndani hivyo vinakuwa vinawamaliza taratiiibu. Ukute kazini stress, familia nayo stress, akirudi nyumbani napo stress. Hilo bomu linalojipika siku likilipuka ndio kama haya.

Mke ana nafasi kubwa mno ya kumsaidia mumewe.
Sasa naona hapa mke ndo kisababishi cha matatizo!hakuwa na wakumsaidia matatizo yake ila angekimbilia nyumba za ibada huko huenda angepata tumaini kulikon kujiua!poor him
 
Kama haumpendi humpendi muache tu.Yaani ukate mawasiliano nae.Mimi pia ni mweupe ningepropose,hahahahahah.
Halafu umepotea. Haiwezekani mjadala hot kama forex haupo siasani siku hizi haupo..Nini tatizo?
 
Ila mimi kujiua haiwezekeni nakuambia, tena haiwezekani!! Wewe nishindwe kwenda kuoa wa Caribbean huko, eti kisa mwanamke wa kibongo haiwezekani. RIP

hahahaha nimecheka had machozi hakiyanani dah ! aise ht mie kujiua kisa mapenzi sijawah fikiria !aku !mlivyo weng hvyo !
 
Sasa si uchague warefu jamani,mimi ni mweupe peee ila sio mfupi.Again mwambie ukweli dada wa watu.Mapenzi yanauma jamani.
 
Sasa naona hapa mke ndo kisababishi cha matatizo!hakuwa na wakumsaidia matatizo yake ila angekimbilia nyumba za ibada huko huenda angepata tumaini kulikon kujiua!poor him
Wanaume huwa kukimbilia nyumba za ibada wanaona kama kujishusha vile wakati ndivyo inavyopaswa kuwa, tooo much ego. Yaani wanaona kama hayo ni mambo ya wanawake tu na wanawakwe ndio wanapaswa kuziombea ndoa zao.

Ndio maana wanawake wanaendelea kuishi, maana huko nyumba za ibada kama sio magonjwa au shida zingine kumpeleka basi wengi ni kuziombea ndoa zao baada ya waume kuwa vitu vya ajabu. Hii iasaidia sana.
 
Alikuwa mwingi wa aibu(SHY) na lone ranger ,yeye alikuwa habebi laptop bali alikuwa anatumia flash na mara nyingi alitumia laptop ya mtu mwingine(wateja wke) kusoma emails zake,kama anakutengenezea laptop ndio anatumia kusoma email ni kama mtu mwenye mawazo mengi
 
kwanza moyo unajikuta unaungua kila siku roho inakuwa nyeusi mie nasemaga bora to speak it out !nashangaa wengi sana wanaponda ohh tunasema ya ndoani !mie nitasema siku na wakati wowote ule nikiamua !inasaidia mno mno !

Kweli my dear, miye nimewapanga marafiki zangu kwa grade, yaani nikidata na ishu zangu nikienda kwa huyu ntacheka mwanzo mwisho, mwingine tutapanga mipango ya Maendeleo, wengine wa kujirusha. Wengine bla bla tuuu.Wengine ukianza tuuu kuwapigia tuuu anaanza na tusi basi tuu Nina kila dizaini.
Kuna wakati yanajaa haswa si unajua, usiposema utashangaa moyo unapasuka moyo. Siyo kila Siku maji yanatulia ipo siku yanatingishika haswa.
 
haya ndo madhara ya kuwa na mke mmoja mpaka kufa...sidhani kama angekuwa na options nyengine kama ilivyo kwa muslims angeweza kufikia hatua hii...maana maamuzi sahihi yangekuwa ama kumtwanga talaka huyo malaya au kumuongezea mke mwenza,hapo ndipo akili ingemkaa sawa.

btw...pole kwa marehemu ila zaidi kwa wana ndugu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…