TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Aisee!!! Hapana uamuzi huo sio mzuri ila kwa vile imetokea basi tukubali matokeo
 
Be a man, mwambie ukweli na umuache. Kwani kawa mweupe baada ya kuwa nae? Huo weupe hukuuona kabla!! We sema umemchoka binti wa watu na sasa unamtafutia sababu. Wanaume wengine bwana!!!
 
Mnatutesa sana nyie wanawake. Inafika kipindi mpaka tunalia kwa ajili yenu. Mm mwenyew naandika lkn nina mzigo mzito sana kwenye moyo wangu. Usione wanawaume tupo barabaran lkn......... Mungu ndiye anajua

ni bora ukatafuta rafiki au mtu unayemwamini ukamweleza !kamwe usikae na mizfgo moyoni jaman !inaumiza mno unajihis mpweke na hufai duniani !ONGEA
 
Exactly wanawake wengi wamepata relief ya matatizo yao simply wamejiweka karibu na Mungu..ila hawa wababa wanapigika sana kwa kujikweza kwao.Siku wakigundua kumtegemea Mungu ndoa nyingi zitapona.Na sidhan kama kutakua na vifo kama hivi.
 
Halafu umepotea. Haiwezekani mjadala hot kama forex haupo siasani siku hizi haupo..Nini tatizo?
Nipo busy acha kabisa,yaani week end ikifika ni choka mbaya,at least leo nimepata nafasi ya kuandika.Huo mjadala hata sijausoma kabisa.Nitausoma baadae.
 
Jamani wacha nionekane mjinga kwa kuoa darasa la saba mwenzangu jamani hawa wanawake waliosoma wenye elimu zao nawaogopa sana kuwatumia katika jambo kubwa sana kama ndoa
 
UPO kama mbiti hapa !yeah sio kila rafiki unamwambia kero zake wengine vivuruge hatar ! nami nina marafiki wa kila desgn ! hao ndo wanatuboost tuhesabu miaka kwakweli ! nawaheshimu na kuwapenda
 
hahahaha nimecheka had machozi hakiyanani dah ! aise ht mie kujiua kisa mapenzi sijawah fikiria !aku !mlivyo weng hvyo !
Kujiua kabisa daaaah!!!![emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Kuna jirani yangu alikiwa na michepuko lkn mke alimkoroga hadi nae akajiua. Haya mambo hayana formula, kama huwezi kudeal nayo ni huwezi tu.
 
Vipi huyo mtoto ni mkali?
 
ni bora ukatafuta rafiki au mtu unayemwamini ukamweleza !kamwe usikae na mizfgo moyoni jaman !inaumiza mno unajihis mpweke na hufai duniani !ONGEA
Nashukuru kwa ushauri. Nitalifanyia kazi ila bado sijamwambia mtu yyte bado. Naungulia maumivu kimya kimya. Nitaufanyia kazi ushauri wako
 
Kujiua kabisa daaaah!!!![emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
eti jaman ! kuna DK aliwah semaga mwanamume akitulizwa HUTULIA !ila mwanamke hatulizwi had atulie mwenyew !huo msemo huwa una ukweli sana san !huwez mtuliza mwanamke aliyejichokea ! ila mwanaume anaweza tulizwa
 
Exactly wanawake wengi wamepata relief ya matatizo yao simply wamejiweka karibu na Mungu..ila hawa wababa wanapigika sana kwa kujikweza kwao.Siku wakigundua kumtegemea Mungu ndoa nyingi zitapona.Na sidhan kama kutakua na vifo kama hivi.
Kweli kabisa mama. Ndoa nyingi mno zitapona.
Ila bahati mbaya naona kama wanawake wamevumilia weeeeh sasa hivi wameamua nao kula sahani moja, yaani ni zamu ya wanaume kuziombea ndoa teh!!
 
Jamani wacha nionekane mjinga kwa kuoa darasa la saba mwenzangu jamani hawa wanawake waliosoma wenye elimu zao nawaogopa sana kuwatumia katika jambo kubwa sana kama ndoa
Wewe omba tu upate mke mwema mkuu,jirani yangu alojiua mkewe ni darasa la saba B kabisa.
 
Mnatutesa sana nyie wanawake. Inafika kipindi mpaka tunalia kwa ajili yenu. Mm mwenyew naandika lkn nina mzigo mzito sana kwenye moyo wangu. Usione wanawaume tupo barabaran lkn......... Mungu ndiye anajua
Hata wanawake wanamizigo!l
Mme anadeti na house girl live!
Anakutukana mbele yake!
Anakwambia kama kuondoka ondoka wewe huyu haondoki!

Au anachiti na mdogo wako!
Au Rafiki yako kipenzi!
Mwingine hadi picha ya michepuko anakuonyesha ilivyo bomba ili utilize mzuka maani huenei,hufikii
Yaaani tunavumilia mengiiii

Sote tuache uzinzi!
 
Nashukuru kwa ushauri. Nitalifanyia kazi ila bado sijamwambia mtu yyte bado. Naungulia maumivu kimya kimya. Nitaufanyia kazi ushauri wako

hakuna janga geni kwenye ndoa ni yale yale yanazungukaga ! ulevi,uchawi,uzinzi,nk ! so usidhan ukitafuta mtu ukamweleza ataona kitu kigein namna hyo !inamaana huna rafiki wa kushea naye ?? aisee inabid ujitafakari pia !utakufa siku si zako ! pole !bado tunakupenda aisee !
 
Asante. Ila nina maumivu sana kwenye moyo wangu. Haya mambo yasikie tu. Bado napambana na hali yangu. Naomba uwe mke mwema kwa mumeo maana mke akikuvuruga ni rahisi sana kuharibu mambo mengine.
Mkuu umechapiwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…