Yote anayosema Mange niliyasema kabla Hukoo nimetulia

Kwahiyo ni rasmi sasa, kuwa Tanzania ni Banana Republic.

Makamu wa Raisi (haramu) katekwa. Watu wapenda haki kimya. Wakati.

Hakuna aliye salama.
 
Duuuuh!!!!
 
Nakumbuka ulisema.Kwa sasa Mimi ninakuamini wewe na Mange kwa maswala ya _za ndani" .
 
Dah angalau umenitia moyo mkuu nilikuwa nimepoteza sana morali hata ya kuchangia nyuzi za jf maana nilikuwa najiuliza huyu mkuu kapatwa na nini na kiukweli jukwaa lilikosa mvuto kwa kutokuonekana kwa maandiko yako namaanisha jukwaa la siasa na mambo ya namna hiyo. Vipi lakini kuna mwanga mbele ya safari au ndo tutaongelea kukinywea kama taifa.
 
Ngoja tuone. Kikubwa ni ngono na mkono kwenda kinywani, ukisubiria kufa.
 
Hivi hii inchi inaongozwa na nani kwasasa. Mbona mambo shaghala bagala. Vurugu tupu haijawahi kutokea. Sidhani kama SSH ana full control ya hii inchi. Je. Inchi inaongozwa kipolis? Pia kuna magenge kama ya kule Haiti yanateka na kuua watanganyika, ndio watanganyika.
 
ccm na ife tu Tanzania ama Tanganyika ipone hatuwataki na wasiposikia echo mwangwi ccm italiingiza taifa kwenye machafuko.

CCM wanalazimika kujivua gamba. Kufa italeta shida.....

Tuimarishe taasisi zetu za kiungozi. Turuhusu wagombea huru.

Tuache siasa za maji taka.....watanzania tunataka maendeleo, kuwajibika na nidhamu ya kuendesha nchi yetu
 

DUNIA hii si mali yetu binafsi. Mengine mengi yanakuja na yatatuchapa kibokl kama tutaendelea kuwa hivi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…