The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,389
- 6,665
Hivi vitu 2 ni silaha kubwa sana kwako, sasa ni wewe kuchagua ikuangamize au ikupe uhai.Unaweza kunielezea zaidi?
Nimekusoma kwa utulivu sana. Nikasema kwa hoja hizi basi hakika yule dogo alikua hakufai😆😆Umeanza😂
Hii ni kweli ila shida watu wanachanganya kati ya mawazo (ambayo mostly huwa yanakuja randomly na ni ngumu kuyacontrol) na hisia zinazopelekea kufocus kwenye jambo husika kwa muda mrefu.Habari wadau wa JF,
Unavuta Kile Unachowaza na Kuamini: Akili Yako Ni Adui Au Nguvu Yako Kubwa?
Nimekuwa nikijiuliza sana hivi karibuni;
Kwa nini watu wawili wakipitia changamoto ile ile, mmoja anaona fursa na mwingine anaona mwisho wa dunia?
Nimegundua kitu kimoja Life does not give you what you WANT, it gives you what you BELIEVE.
Ukiamini pesa ni ngumu, utaona ni ngumu kweli. Ukiamini hakuna kazi Dar, hutapata. Ukiwaza kila siku "nimezimiwa, naonewa, sitaweza" ubongo wako utatafuta ushahidi wa kukuthibitishia kuwa uko sahihi.
Mifano
•Ukianza siku ukisema "leo itakuwa mbaya", hata daladala ikichelewa kidogo unasema "nilijua tu".
•Ukiamini "watu hawapendi kununua online", hautajitahidi kuuza vizuri.
Swali langu kwenu wadau;
1. Je, umewahi kubadilisha mawazo yako na maisha yakabadilika kweli? Toa mfano.
2. Unafanyaje ku-control mawazo hasi hasa ukiwa kwenye pressure ya pesa/kazi?
3. Unadhani ni kweli "Positive thinking" inafanya kazi au ni porojo za motivational speakers?
Natoa mwaliko tujadili kwa hekima,
Karibuni.
Hapa nimeelewa kwamba una msimamo mkali hauwezi kuyumbishwa kirahisi kwasababu tu kuna jambo umekumbana nalo!
Hii no 2. Ni mimi.. kutoa uchungu niongee au nilieee hata masaa matatu😅
Positive thinking haisolve matatizo yote! Kuna mtu nimechagua kumuleza jambo langu moja, kila nikikwama nikimueleza ananjibu nijitahidi kuwa positive.. sasa nashindwa kuelewa..🤔
Sijawahi kufanya hiyo tathmini lakini Kuna wakati naweza kusubiri hadi miezi 6Huwa inafanya kazi baada ya muda gani? Huenda wengine wana haraka sana!
Asante!! Hiki ndicho ninachokiongelea pia! Haiwezekani uwe positive na huku unapambana kumbe unajiweka kwneye position ambayo bila connection hutoboi!Manadharia mengine haya yanafanya kazi vizuri kwa wazungu huko ambako mifumo imenyoka. Huku kwetu cha muhimu uwe na connections nzuri tu na bidii kidogo basi kazi kwisha. Unachokitaka unaweza ukakifanikisha kirahisi tu.
Sasa wewe eti jidanganye kwamba uta-attract what you want wakati uko nje ya mfumo na huna connections. Kila kitu kinakuwa kigumu na uwezekano wa kushindwa ni mkubwa. Mwishowe mtu unaishia kuwa negative!
Hivyo manadharia haya ya kinafsiya yanaathiriwa sana na mazingira (nurture) hata kama asili ya binadamu na misingi yake (nature) ni ya kimajumui (universal). Ukiyachukua manadharia ve tu bila saba haya kutoka huko yalikotoka na kuyaleta huku kwetu bila kuyapitisha kwenye chujio la mazingira na mikatale ya jamii (social constraints ) unaweza ukaishia kutoa boko tu - tamu sana kinadharia lakini chungu kama shubiri kiuhalisia!
Shukrani sana!!Hivi vitu 2 ni silaha kubwa sana kwako, sasa ni wewe kuchagua ikuangamize au ikupe uhai.
Kwanini nasema hivyo. Kuna kitu kinaitwa sheria. Sheria huwa haijui unajua sheria au hujui sheria, yeye kazi yake nikutia mtu hatiani. Basi ili kuwa huru ni wewe kujua sheria na inavyofanya kazi. Endelea kujifunza na kutafiti katika hayo mambo 2 yatakusaidia
Tatizo yuko slow sana kama kobe😆😆Dogo mbona katulia yule au ni siku hizi tu😆
Kwahiyo hii nadharia ya kusema you attract what you are ni misemo tu au inafanya kazi ila sio kwa kila mtu? Kwa hivyo unaweza kutarajia jambo kwa ukubwa na kwa uhakika bila kuwaza unaweza ukalikosa pia lakini ukaanguka vibaya tu!Hii ni kweli ila shida watu wanachanganya kati ya mawazo (ambayo mostly huwa yanakuja randomly na ni ngumu kuyacontrol) na hisia zinazopelekea kufocus kwenye jambo husika kwa muda mrefu.
Kiuhalisia, kuwaza mambo mabaya au mambo mazuri hakuwezi kukufanya uangukie huko, coz unaweza kuwaza kufa na usife na unaweza kuwaza kuwa tajiri na usiwe.
Ila effect ya hicho unachowaza huwa inaenda kwenye uhalisia pale ambapo mitetemo yako inatetema kwenye eneo sawia na kile unachokiamini ndani yako (kwahiyo sio mawazo ila mostly ni Imani)
Na infact Imani huwa haziji tu kwenye Kila jambo ila Imani huwa inakuja kwenye yale yote ambayo ni hakika kwa mtu husika coz universe hainaga bahati mbaya wala nzuri ila Kila kitu kipo kwenye mpangilio wake, so Kila kitu ambacho mtu anakutana nacho hakijawahi kuwa coincidence.
Ndio maana kitu ambacho wewe unakiogopa na kinaweza kukufanya mapigo yako ya moyo yaende mbio once kikitokea sio kitu ambacho kinaweza kikadundisha mapigo ya moyo ya Kila mmoja.
Ni sawa na mitetemo pia.
Mimi mpaka huwa napenda kuwa mwenyew muda mwingi coz sijui kufake yani huwa niko mbwai mbwai, siwezi kabisa hata nyumbani wananisema sana juu ya hili kwamba siwezi kujikaza hata kiunafiki tu! Nikiwa siko sawa ntajitahidi nisikae na watu kabisaaa!! Nikizuia kulia uchungu unakuwa mkali sana na huwa siongei nakaa kimya muda wote!!Mimi naweza kupitia jambo gumu lakini mbele za watu nikaact kama hamna kitu, nikipata nafasi ya kuwa mwenyewe ndo maombolezo yanaanza 🤦♀️
😂😂😂😂😂😂 duhh ulijiskiaje alipokueleza? Jamani🙆🏽♀️Nilishawahi kuwa na boss alikuwa anasema hajawahi kuona nimekasirika hata aniseme vipi lakini alishaniona kwenye camera amenisema weeee nilivyoondoka akaniona kwenye camera nimeingia chumba fulani nikaanza kulia 😂
Mambo ni magumu jamani tuwe wakweli tu!Positive thinking kusolve mambo yote hii ni kwa motivation tu, practically mambo sio marahisi namna hii
Kuna watu wanapambana hata miaka mitano haoni mwanga, unataka aendelee kuamini tu kuwa hili jambo kitatokea wacha niendelee kusubiri? Unakuta mtu amejaribu kila njia matokeo ni yaleyale kwanini asinung’unike?Sijawahi kufanya hiyo tathmini lakini Kuna wakati naweza kusubiri hadi miezi 6
Ukiwa in hurry, tegemea disappointment kwenye hili
Sipendi mtu wa kulalamika, Kuna mtu kwa Kila analopitia huwa ni mtu wa kutoa lawama tu
Hajipi nafasi kuweza kuvumilia na kutafakari kwamba pengine anakomazwa kupitia hilo
Mimi wakati naanza kazi, nilikaa miaka 2 tu kazini, then nikakabidhiwa niongoze Idara iliyokuwa na ma-seniors zaidi ya 6
Congrats!Kumbe ilikuwa ni kipimo watu wamekaa mahali wananipima nacho
Can't write more....lakini it was a big test for the big position
Kila jambo huwa na sababu zake, Kuna wengine wangepewa wanachokiomba kwa wakati huenda wange- mis-use na kupata athari hasi mapemaKuna watu wanapambana hata miaka mitano haoni mwanga, unataka aendelee kuamini tu kuwa hili jambo kitatokea wacha niendelee kusubiri? Unakuta mtu amejaribu kila njia matokeo ni yaleyale kwanini asinung’unike?
Asante mjukuuCongrats!
hakika mkuuUtu Uzima sio umri ni experience
Hmm wengine hawapati kabisa matokeo haijalishi ukuaji!Kila jambo huwa na sababu zake, Kuna wengine wangepewa wanachokiomba kwa wakati huenda wange- mis-use na kupata athari hasi mapema
Kwahiyo pengine wanaachwa hapo waliopo ili wakue kimwili na fikra
Poleni..Asante mjukuu
Ila ni mwaka 47 huo, sasa tumejizeekea 🤪
Hapana, matokeo wanapata ila sio kwa kiwango walichotegemea.Hmm wengine hawapati kabisa matokeo haijalishi ukuaji!
AsantePoleni..
Naona umeanza kusapoti mashoga wenzio.
Okay umeeleweka mzee!Hapana, matokeo wanapata ila sio kwa kiwango walichotegemea.
Mathalani uliomba kazi yenye mshahara wa milioni 2, lakini ukapata kazi yenye mshahara wa laki 8
Kumbe wenzio wanakupa muda wa kukuangalia performance yako na namna unavyoweza kuwa productive kwenye Taasisi yao
Asante
Hapa kuna kipengele ambacho kinaendana na cha kwangu, mimi naweza kupitia mambo magumu ila hakuna mtu ambae anaweza kujua kua napitia hali hiyo ila upande mwingine hata kama napitia hayo kulia ni ngumu kwanguMimi naweza kupitia jambo gumu lakini mbele za watu nikaact kama hamna kitu, nikipata nafasi ya kuwa mwenyewe ndo maombolezo yanaanza