Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Hapa kuna kipengele ambacho kinaendana na cha kwangu, mimi naweza kupitia mambo magumu ila hakuna mtu ambae anaweza kujua kua napitia hali hiyo ila upande mwingine hata kama napitia hayo kulia ni ngumu kwangu
Mimi mpaka huwa napenda kuwa mwenyew muda mwingi coz sijui kufake yani huwa niko mbwai mbwai, siwezi kabisa hata nyumbani wananisema sana juu ya hili kwamba siwezi kujikaza hata kiunafiki tu! Nikiwa siko sawa ntajitahidi nisikae na watu kabisaaa!! Nikizuia kulia uchungu unakuwa mkali sana na huwa siongei nakaa kimya muda wote!!
😂😂😂😂😂😂 duhh ulijiskiaje alipokueleza? Jamani🙆🏽♀️
Mambo ni magumu jamani tuwe wakweli tu!
Kwa kutochagua uchungu...life is the matter of choice and we are free to choose what we are knowingly or unknowingly.Unaondoaje uchungu?
Yes, life is full of things like that, " illusions" because we are in deep sleep and we are dreaming big.Mimi kuact najua
Naweza nikawa nimelazwa hospitali lakini akanipigia mtu simu nikaongea kama nipo sehemu tofauti 😁😁
Niliona kawaida tu kwasababu ni mara nyingi nafanya hivyo
Mkuu acha nipitie madini ya ma GT kuna vitu vingi nimejifunza mpaka hapaNawe sema chochote shemeji 😎
Nimekushindwa! Sema namie nimeanza kujifunza ku fake mpaka ni make it😎Mimi kuact najua
Naweza nikawa nimelazwa hospitali lakini akanipigia mtu simu nikaongea kama nipo sehemu tofauti 😁😁
Niliona kawaida tu kwasababu ni mara nyingi nafanya hivyo
Good thing in you, wewe ni mfuatiliaji mzuriNimekushindwa! Sema namie nimeanza kujifunza ku fake mpaka ni make it😎
Good startNimekushindwa! Sema namie nimeanza kujifunza ku fake mpaka ni make it😎
Nimekushindwa! Sema namie nimeanza kujifunza ku fake mpaka ni make it😎
Well said Joann, Distance is not the barrier I can sense your inner voice of freedomHii dunia sio ya kinyonge, hata ukionesha udhaifu hadharani kimsingi ni almost nobody cares