Kwenye kuimarisha kikosi ndio jambo sahihi ambalo hata na mie nakubali Mtani.Punguzen bahasha za kaki , utakuja niambia hapa
Tuombe uzima tu, imarisha kikos , nenda vitan bila kona kona , faster tu unajikuta hapa tulipo
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ngoja nimkumbushe tu...Pote nimekuelewa ila hapo kwenye bahasha za khaki una uhakika Mtani?
Nanavyodhani mimi ni vile Kikosi chetu kimekuwa ni cha kubadilika kila msimu na hiyo ndio sababu huwa hatufanyi vizuri Kimataifa.
Nadhani kwenye hili watupe elimu ya kutosha sababu si ajabu ndo kinawasaidia hawa. 🤣🤣Awapi bila janja janja za kupuliza dawa za kuwalegeza wapinzani nyie ni walaini sana ndo maana kipindi cha kwanza hua mnateseka sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Relax Mtani twende taratibu hebu. 😅😅😅Hizo dawa s na nyie mnunue?? Au mmekatazwa ?
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Najua hutakubali ila hata humu humu kwenye huu uzi zipo picha za bahasha za khaki , anyway.. cha muhimu jengeni kikos, wachezaj wenu bora wasiondoke , keep themPote nimekuelewa ila hapo kwenye bahasha za khaki una uhakika Mtani?
Nanavyodhani mimi ni vile Kikosi chetu kimekuwa ni cha kubadilika kila msimu na hiyo ndio sababu huwa hatufanyi vizuri Kimataifa.
Mkumbushe pia wachezaji wetu kadhaa hawakucheza coz sajili zao za kimataifa zilizuiliwa...Hakuna cha bahasha.
Timu haikuwa na maandalizi. Ukizingatia ndo tulitoka kusajili. Tena wachezaji wengi wapya. Hakukuwa na muda wa kuzoena.
Pia kilikuwa kipindi cha covid. Wachezaji wengi walipotoka hawakuwa timamu. Ilibidi wafanyishwe mazoezi magumu,kabla misuli haijaachia wanakutana na mechi ngumu. Kosa la viongozi wetu ni kupeleka timu Morocco wakati hatukuwa na muda wa kutosha.
Simba pamoja na kupata muda wa kutosha wa mazoezi kwakuanzia raundi ya pili,bado mlitolewa.
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Hili swala la penalties ni makosa ya waamuz , hakuna timu ambayo haijanufaika nayo au kuumizwa nayoKwenye kuimarisha kikosi ndio jambo sahihi ambalo hata na mie nakubali Mtani.
Japo sasa punguza kauli za kuudhi na wewee sababu inamana zile game zaidi ya tano mlizokuwa mnabebwa bebwa kwa kupewa penalties na wapinzani kupewa red card kwenye mechi za Ligi kuu mlikuwa mnatowa bahasha? [emoji853][emoji853]
Sijaona kwanini umenipinga kwani hiyo hoja ulioitoa ni ya uongo kabisa.. Kumbe hata hujui ilikuaje mkaanzia round ya pili mi sijasema mlipendelewa
Hatujatolewa , round ya pili hakuna kutolewa , tunagawana vyumba vya kuingia, wanao tolewa ni preliminary stage hukoHakuna cha bahasha.
Timu haikuwa na maandalizi. Ukizingatia ndo tulitoka kusajili. Tena wachezaji wengi wapya. Hakukuwa na muda wa kuzoena.
Pia kilikuwa kipindi cha covid. Wachezaji wengi walipotoka hawakuwa timamu. Ilibidi wafanyishwe mazoezi magumu,kabla misuli haijaachia wanakutana na mechi ngumu. Kosa la viongozi wetu ni kupeleka timu Morocco wakati hatukuwa na muda wa kutosha.
Simba pamoja na kupata muda wa kutosha wa mazoezi kwakuanzia raundi ya pili,bado mlitolewa.
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Bila kuanzia round ya pili msimu huu mngekua wa hapahapa kama sisi tu.. Pia kumbuka sisi sio kua ni wazembe kiasi hicho hata nyie mlitolewa round ya kwanza tu na ud songo tena msimu uliopita mlikua mmetoka kucheza robo fainali.. So bahati pia inamata..Najua hutakubali ila hata humu humu kwenye huu uzi zipo picha za bahasha za khaki , anyway.. cha muhimu jengeni kikos, wachezaj wenu bora wasiondoke , keep them
Mjipange , hakuna ubaya wowote mkiiga mazuri ya Simba, ugenini tunaenda kuzuia au kufungwa goli chache... Ila wakija hapa tunalala nao mbele
Unaweza feli mara moja au mbili ila ukapatia mara kumi , system inafanya kaz sana hii
Tokea simba tuanze itumia miaka minne sasa unaenda watano , imewah feli mara moja tu vs Galaxy , hatujafungwa mchezo mwingine wowote hapa nyumban, ukiangalia ufanisi wa huu mfumo ni karibu 98% huko
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Nakubaliana na wewe Mkuu.Hakuna cha bahasha.
Timu haikuwa na maandalizi. Ukizingatia ndo tulitoka kusajili. Tena wachezaji wengi wapya. Hakukuwa na muda wa kuzoena.
Pia kilikuwa kipindi cha covid. Wachezaji wengi walipotoka hawakuwa timamu. Ilibidi wafanyishwe mazoezi magumu,kabla misuli haijaachia wanakutana na mechi ngumu. Kosa la viongozi wetu ni kupeleka timu Morocco wakati hatukuwa na muda wa kutosha.
Simba pamoja na kupata muda wa kutosha wa mazoezi kwakuanzia raundi ya pili,bado mlitolewa.
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Kilicho tokea vs Galaxy ni ajali haikua uwezo, leo hata zipangwe mechi 10 mfululizo Simba vs Galaxy hakuna mechi hata moja utabet eti Galaxy amfunge Simba , ichezwe popote paleBila kuanzia round ya pili msimu huu mngekua wa hapahapa kama sisi tu.. Pia kumbuka sisi sio kua ni wazembe kiasi hicho hata nyie mlitolewa round ya kwanza tu na ud songo tena msimu uliopita mlikua mmetoka kucheza robo fainali.. So bahati pia inamata..
Sema mnachotuzi ni kua mkishafika kwenye makundi mnajua sana kuutumia uwanja wa nyumbani hapo sina shaka halijalishi mnatumia mbinu gani kushinda
Wapi tena hukoRelax Mtani twende taratibu hebu. [emoji28][emoji28][emoji28]
Sawa lakini ndo mfungwe tatu kwa mkapa na hao unaowaita wajinga [emoji1787][emoji1787]Kilicho tokea vs Galaxy ni ajali haikua uwezo, leo hata zipangwe mechi 10 mfululizo Simba vs Galaxy hakuna mechi hata moja utabet eti Galaxy amfunge Simba , ichezwe popote pale
Kuhusu swala la kutolewa preliminary round ndan ya miaka minne limetoka mara moja , so in other words chances za simba kutoka hatua ya kwanza ni 25% na chances za kwenda mbele ni 75%
Na Simba haiwez anzia huko round ya kwanza , ni round ya wajinga , unapiga mtu goli 10 , umaneni wenyewe huko kwanza mkisha chujana ndio mtakutana na Simba na wakubwa wenzie round zinazo fuata
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Nakazia wasome ulichoandika wapate kukumbuka.Ngoja nimkumbushe tu...
Digue diarra
Djuma shaban
Kibwana
Job
Mwamnyeto
Bangala
Sureboy
Feisal
Tibazonkiza
Mayele
Farid
Hapo ukitoa simba kuna timu gani hapa bongo itatusumbua kwa hilo kosi? Bado sub una Aucho,Ambundo,Nkane,Moloko aache tu utani bahasha ya kaki ni wao waliitumia enzi hizo hamna udhamini timu zipo hoi taabani coastal anakuja dar saa nane mechi saa kumi wanashinda 8 boko anafunga goli tano[emoji1787][emoji1787]... Sasa msimu huu mambo yamebadilika kwao wamejificha kwenye kivuli cha bahasha ya kaki serious???
Mfano ile mechi walifungwa moja bila na kagera je haikua uzembe wao? Au mechi wamekosa penati Pale uwanja wa karume musoma na biashara si umbumbumbu wao! Wasitulaumu sisi tunachukua ubingwa kihalali kabisaaaaa chini ya mtakatifu mayele...
ni raundi ya wajinga kwa kweli. Mwenye akili utapangwaje raundi ya awali?Sawa lakini ndo mfungwe tatu kwa mkapa na hao unaowaita wajinga [emoji1787][emoji1787]
Ila wajinga ndo waliwapeleka shirikisho[emoji1787][emoji1787]ni raundi ya wajinga kwa kweli. Mwenye akili utapangwaje raundi ya awali?
Ni kweli mi nabakia kwenye kutengeneza Kikosi tu Mtani.Najua hutakubali ila hata humu humu kwenye huu uzi zipo picha za bahasha za khaki , anyway.. cha muhimu jengeni kikos, wachezaj wenu bora wasiondoke , keep them
Mjipange , hakuna ubaya wowote mkiiga mazuri ya Simba, ugenini tunaenda kuzuia au kufungwa goli chache... Ila wakija hapa tunalala nao mbele
Unaweza feli mara moja au mbili ila ukapatia mara kumi , system inafanya kaz sana hii
Tokea simba tuanze itumia miaka minne sasa unaenda watano , imewah feli mara moja tu vs Galaxy , hatujafungwa mchezo mwingine wowote hapa nyumban, ukiangalia ufanisi wa huu mfumo ni karibu 98% huko
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ooh! Naona unavutia kwako.Hili swala la penalties ni makosa ya waamuz , hakuna timu ambayo haijanufaika nayo au kuumizwa nayo
Ila swala la mserereko wa mechi hilo sio waamuzi , n bahasha za khaki
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kwenye hiki tunachozungumzia hapa.