Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Saiv Yanga Wako Makini Kwenye Usajili Wameshajifunza.... Tumekosea Sana Misimu Kadhaa Nyuma Mpaka Huu Usajili Wa Kina Mayele Na Aucho Umekuja Kuclick..Kwaio Saiv Ni Mwendo Wa Kushusha Vyuma Tu Mkuu.Na iwe kweli aisee zile mambo za kuleta wachezaji tia maji tia maji nadhani kwa sasa hazina nafasi.
Haswaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi Napenda Watu Kama Hawa Wanaoweza Kufit Nafasi Nyingi Uwanjani Kulingana Na Uhitaji Wa Kocha, Kushoto Muweke Kulia Muweke Kati Kati Muweke Yaani Mtu Kaz Kaz Anachafua Kila Sehemu [emoji23][emoji23]kwa hiyo huyu atakuwa Pacha ako. [emoji23][emoji23][emoji23]
#Mzeewakazichafu.
Ni Burkina Faso Mkuu Ndugu Yake Yacouba Sogne Huyo.Pwani ya Tembo. Ivory cost
Sahihi kabisa. NilijichanganyaNi Burkina Faso Mkuu Ndugu Yake Yacouba Sogne Huyo.
Natamani iwe endevu isiwe ya misimu kadhaa hapo ndo tunaweza tukawa juu miaka yote.Saiv Yanga Wako Makini Kwenye Usajili Wameshajifunza.... Tumekosea Sana Misimu Kadhaa Nyuma Mpaka Huu Usajili Wa Kina Mayele Na Aucho Umekuja Kuclick..Kwaio Saiv Ni Mwendo Wa Kushusha Vyuma Tu Mkuu.
Ndio mabadiliko yenyewe. Badala ya M/kiti anakuwa raisiHivi hii ya Urais Yanga imekaaje?
Mana sijawahi kuisikia eti π€ ndio huu mfumo wa mabadiliko au ipo siku nyingi?
Ooh!! Basi nikawa kama sielewi hivi.Ndio mabadiliko yenyewe. Badala ya M/kiti anakuwa raisi
Chini Ya Uongozi Mpya Wa Hersi Na GSM Mambo Yatazidi Kuwa Mazuri Tu Mkuu.Natamani iwe endevu isiwe ya misimu kadhaa hapo ndo tunaweza tukawa juu miaka yote.
Na mm pia 0783 699 626Kwema wanayanga wenzangu, naomba kuunganishwa na magroup ya wasap maana huko ni rahisi kupata updates, Kama Kuna mwenye link ya kujoin naomba aweke hapa ni-join
Haya ndo mambo tunataka Wananchi.Striker hatari Lazarous Kambole kutoka Kaizer Chiefs ya Afrika ya Kusini, anasubiri tu kutambulishwa! Ameshasaini miaka 2 kuwatumikia Wananchi!
Experience ya kutosha! Chini ya Profesa Nabi, naamini atatusaidia sana kwenye safari yetu Kimataifa.
Mwanzoni walituona kama tunapotea hivi saa hii Baba wa Chupli chupli kakubali mwenyewe. Lol.Saa itakuwaje [emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]View attachment 2258669
Nzuri hii!! Hapa walau tuna uhakika wa kuwa na Kikosi bora tena next season.Miwili Tena Farid Musa Malik Shaaaaaa..![emoji298]View attachment 2259427
Bado Kocha, Viongozi Wetu Wafanye Mapema Kumbakiza Kocha Wetu Nabi...Maana Kuna Mitimu Inahaha Muda Huu Kutafuta Kocha Na Mojawapo Ya Timu Hizo Inatabia Za Kishirikina Isije Kufanya Balaa Bure Mtu Akasaini Mkataba Bila Kujijua [emoji28]Nzuri hii!! Hapa walau tuna uhakika wa kuwa na Kikosi bora tena next season.
#Mwamnyeto
#Zawadi Mauya
#Kibwana Shomari
Wote hawa tumewabakiza.
Kweli kabisa.Bado Kocha, Viongozi Wetu Wafanye Mapema Kumbakiza Kocha Wetu Nabi...Maana Kuna Mitimu Inahaha Muda Huu Kutafuta Kocha Na Mojawapo Ya Timu Hizo Inatabia Za Kishirikina Isije Kufanya Balaa Bure Mtu Akasaini Mkataba Bila Kujijua [emoji28]
ππππππππBado Kocha, Viongozi Wetu Wafanye Mapema Kumbakiza Kocha Wetu Nabi...Maana Kuna Mitimu Inahaha Muda Huu Kutafuta Kocha Na Mojawapo Ya Timu Hizo Inatabia Za Kishirikina Isije Kufanya Balaa Bure Mtu Akasaini Mkataba Bila Kujijua [emoji28]