Halafu sijui watu wanaakili gani, ukiona mchezaji au kocha ana umuhimu wa kubakia na mkataba unaelekea ukingoni hata ikiwa bado miezi mitano kuisha, kwanini usimuongezee mkataba kabisa kuliko kusubiria hadi ifikie ukingoni kabisa! Na jamaa mpaka leo hawajatangaza kocha kuna kitu kinachoendelea hapo sio bure. Ikitokea wamemtangaza kocha mwingine basi Nabi kawagomea. Yaani tumebakia kungojea busara ya kocha badala ya kulingia pin ya mkataba. DahBado Kocha, Viongozi Wetu Wafanye Mapema Kumbakiza Kocha Wetu Nabi...Maana Kuna Mitimu Inahaha Muda Huu Kutafuta Kocha Na Mojawapo Ya Timu Hizo Inatabia Za Kishirikina Isije Kufanya Balaa Bure Mtu Akasaini Mkataba Bila Kujijua [emoji28]
Nikweli kabisa,hawa watakaza sana ila leo uhakika points 3Tunajua game itakuwa ngumu ila Insha Allah leo ndo tunatangaza ubingwa wa NBC Premier League 2021/2022.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Umeonaeee! Watakaza sana ila hata goli moja tu litatutosha.Nikweli kabisa,hawa watakaza sana ila leo uhakika points 3
YANGA BINGWA 2021-2022 [emoji91]Tunajua game itakuwa ngumu ila Insha Allah leo ndo tunatangaza ubingwa wa NBC Premier League 2021/2022.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Mimi.ni Yanga
Hakika. Mabingwa wapya watarajiwa.YANGA BINGWA 2021-2022 [emoji91]
Chama la wana kitambo
Nani Huyu?Ndio ndio. [emoji123]
View attachment 2261968
Ndio ndio Mkuu. Sisi ndio Wananchi tuko nayo siku zote. πͺChama la wana kitambo
Hahahaaaa. Hii ni quiz tunawapa watu. π π πNani Huyu?
1. Mustafa Kiiza
2. Lazarous Kambole
3. Lomalisa Mtambala
4. BM3
5. Ki Aziz
Ni Nani??? [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaaa. Hii ni quiz tunawapa watu. [emoji28][emoji28][emoji28]
Tuko pamoja Aminia ShadeeyaNdio ndio Mkuu. Sisi ndio Wananchi tuko nayo siku zote. πͺ