Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ilikua back to back? Huioni Azam hapo?
Sisi tulichukua wenyewe tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hoja ni kukaa muda mrefu pasipo kuambulia kombe la ligi kuu na sio kuchukua mara ngapi mfululizo. Na ndio maana umeambiwa simba ilikaa miaka mitano bila kuambulia kombe sasa iweje kushangaa yanga aliyesubiri kwa miaka minne tu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashabiki wa Yanga furaha mliyonayo leo, simna ilikua nayo misimu 4 ilopita

Haya m relaaaax na mu enjoyyy. Hurrrayyyyyyyyyyyy!!!!!!
Ligi ya mwaka huu tofauti na miaka mingine, ya mwaka huu ina vibe la ulaya.
 
Hoja ni kukaa muda mrefu pasipo kuambulia kombe la ligi kuu na sio kuchukua mara ngapi mfululizo. Na ndio maana umeambiwa simba ilikaa miaka mitano bila kuambulia kombe sasa iweje kushangaa yanga aliyesubiri kwa miaka minne tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ndo ulie? Khaaaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…