[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pamoja Na Yote Ayo Lakini Jamaa Boli Anajua..Atasaidia Sana ile Wing Ya Kushoto We Utaona.
Kiukweli huu usajili wa huyu jamaa mi sijaufurahia. Tabia huwa haibadiliki ni bora tungeendelea kumbakiza Saido kuliko huyu kachero. Perfomance yake ni ya mechi moja moja tu hawezi kuwa na mfululizo wa perfomance nzuri.Yeah Man.
Kuhusu Suala Lake La Nidhamu Linajulikana Na Bodi Nzima Na Sina Shaka Kama Hawajaongea Nae Kuhusu Hilo Kabla Ya Kumpa Mkataba Kwa Mara Nyingine, Huyu Jamaa Boli Anajua Na Atacheza Mpira Wa Maana Ndani Ya Yanga...We UtaonaKiukweli huu usajili wa huyu jamaa mi sijaufurahia. Tabia huwa haibadiliki ni bora tungeendelea kumbakiza Saido kuliko huyu kachero. Perfomance yake ni ya mechi moja moja tu hawezi kuwa na mfululizo wa perfomance nzuri.
Nitajie mchezaji mmoja tu duniani ambae pafomansi yake ilikuwa au ipo sawa kila mechi??Kiukweli huu usajili wa huyu jamaa mi sijaufurahia. Tabia huwa haibadiliki ni bora tungeendelea kumbakiza Saido kuliko huyu kachero. Perfomance yake ni ya mechi moja moja tu hawezi kuwa na mfululizo wa perfomance nzuri.
Sijasema kila mechi nimesema hana perfomance ya muendelezo halafu duniani tunaenda mbali sana, hapa hapa Yanga angalia perfomance ya Saido fananisha na huyo jamaa. Impact yake sio kubwa ukilinganisha na hawa mawinga tulionao mfano hata Yacouba asiye na majeraha huyo Morrison haingii kabisa.Nitajie mchezaji mmoja tu duniani ambae pafomansi yake ilikuwa au ipo sawa kila mechi??
Mimi sijui watakua wamekubaliana jambo gani kuhusiana na swala na nidhamu yake ila tunataka atupe zaidi ya alichokua anatupa Saido na Yacouba. Nina imani kwa ile mipasi mirefu ya babu kaju Sure boy inaweza kumnufaisha ila anatatizo la kushindwa kuwa mmaliziaji mzuri hasa anapokua 1v1.Kuhusu Suala Lake La Nidhamu Linajulikana Na Bodi Nzima Na Sina Shaka Kama Hawajaongea Nae Kuhusu Hilo Kabla Ya Kumpa Mkataba Kwa Mara Nyingine, Huyu Jamaa Boli Anajua Na Atacheza Mpira Wa Maana Ndani Ya Yanga...We Utaona
Subiri Utaona Kaka ila Amini Nayokwambia Huyu Anakuja Kuupiga Mwingi Sana Kuzidi Hao Ulowataja.Mimi sijui watakua wamekubaliana jambo gani kuhusiana na swala na nidhamu yake ila tunataka atupe zaidi ya alichokua anatupa Saido na Yacouba. Nina imani kwa ile mipasi mirefu ya babu kaju Sure boy inaweza kumnufaisha ila anatatizo la kushindwa kuwa mmaliziaji mzuri hasa anapokua 1v1.
Sawa mkuuSubiri Utaona Kaka ila Amini Nayokwambia Huyu Anakuja Kuupiga Mwingi Sana Kuzidi Hao Ulowataja.
Morrison anaweza kucheza msimu mzima mechi 2 za headline basi.......ni msumbufu,sema Tz tumezidi ujinga sanaPamoja Na Yote Ayo Lakini Jamaa Boli Anajua..Atasaidia Sana ile Wing Ya Kushoto We Utaona.
Sioni kama anajipya tena kwenye soka la TzSubiri Utaona Kaka ila Amini Nayokwambia Huyu Anakuja Kuupiga Mwingi Sana Kuzidi Hao Ulowataja.
Morrison hana jipya huu usajili umekaa kisiasa zaidiSioni kama anajipya tena kwenye soka la Tz
Sure.Morrison hana jipya huu usajili umekaa kisiasa zaidi
Huyu mpumbavu mm nmemkataa kabisa sema Tz bado siasa nyingi na ulimbukeni, hakukuwa na sababu yoyote ya Yanga kusaini takataka kama Morison, mm najua hapa kocha kalazimishwa na kina Manara kuuchukua huo mzoga. Mchezaji hata awe mzuri kiasi gani lkn nidhamu kwanza.Subiri Utaona Kaka ila Amini Nayokwambia Huyu Anakuja Kuupiga Mwingi Sana Kuzidi Hao Ulowataja.