Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kiukweli huu usajili wa huyu jamaa mi sijaufurahia. Tabia huwa haibadiliki ni bora tungeendelea kumbakiza Saido kuliko huyu kachero. Perfomance yake ni ya mechi moja moja tu hawezi kuwa na mfululizo wa perfomance nzuri.
Alafu mpira wake ni wa kizamani sana wa kucheza na mashabiki wkt watu wanahitaji matokeo.
 
Kwa sasa iko jitihada ya kutafuta kiongo mkabaji ambaye atasaidia eneo la LITOMBO.

Then Litombo atashuka chini kwakina Bakari na Dickson katika mitanange ya kimataifa.
Wafanye ivo aisee kwani siku nazo zinakimbia wasije kushituka siku zimeisha.
 
Yanga naipenda ila huu ni uamuzi wa kijinga kuwahi kufanywa,GSM wanaisaidia team ila inatakiwa wawe na heshima Kwa mashabiki na Brand ya Yanga
View attachment 2280495
Kweli kabisa nadhani ni vile wanaona hatuna nafasi katika wanachokifanya sio bure aisee.

Hii haina tofauti na ile ya Manara waliona tumetulia basi wanafanya wanavyojisikia.
 
Hizi ni dharau kubwa sana wametufanyia.

Wengine wataona sawa ila kiukweli huyu hakupaswa kusajiliwa tena.
 
Ni mchezaji mzuri sawa na anaeza isaidia timu ila kwa alikotupitisha sikuona kama kulikuwa na haja ya kumrudisha huku wachezaji kibao type yake wapo.[emoji854]

Hapa ni kama uongozi unatuvuruga tu.
Tusubiri Tu Mkuu....Tutapata Majibu Zaidi Huko Mbele, Mimi Naamini Bodi Nzima Ya Timu Washazungumza Nae Kuhusu Masuala Yake Ya Kinidhamu Kabla Hajasaini Ule Mkataba Na Huenda Akaja Kuwa Msaada Mkubwa Kwenye Timu, Kwa Ule Uchezaji Wa Jesus Moloko Wa Siku Hizi Ni Heri Tuwe Na Morrison Kwenye Nafasi Yake, Tutapate Matokeo Kwanza Ayo Mambo Mengine Baadae. [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…