Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ni kweli anajua boli ila kwa alichotufanyia sikuona haja ya kumrudisha.

Sema nini GSM anataka tuwe bendera fuata upepo na hilo hatuezi likataa sababu wao wameshika makali.
Duuuh ila watanzania bhana ni matatizo matupu!!
 
Kwakweli binafsi mi nimeufurahia usajili huu. Nilikuwa natamani muda mrefu hili litokee.
Ukiniuliza kwanini?
Sina maelezo mazuri yakukueleza. Ila moyo wanguu uko burdanii. Unaniambia kwakitendo alichowahi kuwafanyia wanayanga,anatamani kuwaomba msamaha kwakucheza vizuri na kujituma.

Ukisikiliza alipokuwa akihojiwa na Saaleh Ally utathibitisha hayo. Kwani kajieleza mwenyewe kwamba watanzania wanamchukulia kuwa mtukutu na analijua hilo. Anataka kulifuta
 
Mi naamini kwa yaliyotokea,uongozi wetu kuna sehemu walikosea. Na hata kwenda mahakama ya usuluhishi walienda ili kutuliza jazba za mashabiki. Walijua wazi wamechemka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…