Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ni kweli anajua boli ila kwa alichotufanyia sikuona haja ya kumrudisha.

Sema nini GSM anataka tuwe bendera fuata upepo na hilo hatuezi likataa sababu wao wameshika makali.
Duuuh ila watanzania bhana ni matatizo matupu!!
 
Huyu mpumbavu mm nmemkataa kabisa sema Tz bado siasa nyingi na ulimbukeni, hakukuwa na sababu yoyote ya Yanga kusaini takataka kama Morison, mm najua hapa kocha kalazimishwa na kina Manara kuuchukua huo mzoga. Mchezaji hata awe mzuri kiasi gani lkn nidhamu kwanza.
Kwakweli binafsi mi nimeufurahia usajili huu. Nilikuwa natamani muda mrefu hili litokee.
Ukiniuliza kwanini?
Sina maelezo mazuri yakukueleza. Ila moyo wanguu uko burdanii. Unaniambia kwakitendo alichowahi kuwafanyia wanayanga,anatamani kuwaomba msamaha kwakucheza vizuri na kujituma.

Ukisikiliza alipokuwa akihojiwa na Saaleh Ally utathibitisha hayo. Kwani kajieleza mwenyewe kwamba watanzania wanamchukulia kuwa mtukutu na analijua hilo. Anataka kulifuta
 
Tusubiri Tu Mkuu....Tutapata Majibu Zaidi Huko Mbele, Mimi Naamini Bodi Nzima Ya Timu Washazungumza Nae Kuhusu Masuala Yake Ya Kinidhamu Kabla Hajasaini Ule Mkataba Na Huenda Akaja Kuwa Msaada Mkubwa Kwenye Timu, Kwa Ule Uchezaji Wa Jesus Moloko Wa Siku Hizi Ni Heri Tuwe Na Morrison Kwenye Nafasi Yake, Tutapate Matokeo Kwanza Ayo Mambo Mengine Baadae. [emoji1]
Mi naamini kwa yaliyotokea,uongozi wetu kuna sehemu walikosea. Na hata kwenda mahakama ya usuluhishi walienda ili kutuliza jazba za mashabiki. Walijua wazi wamechemka.
 
JamiiForums1919781759.jpg
 
Back
Top Bottom