hapana upende wake wapo watu sensitive tayali akina lomalisa, kibwanaJamani huyu mbona kama bado alikuwa anatufaa? Au mnaonaje?
View attachment 2295289
Ooh!! Sawa Mkuu.hapana upende wake wapo watu sensitive tayali akina lomalisa, kibwana
Huyu alikuwa fresh kuliko hata Moloko.Jamani huyu mbona kama bado alikuwa anatufaa? Au mnaonaje?
View attachment 2295289
Na kama sijakosea sometimes alikuwa wanampandisha juu na anacheza fresh kabisa.Huyu alikuwa fresh kuliko hata Moloko.
Cha kushangaza Moloko bado yupo huku kiukweli simuonagi kama huwa ana maajabu.Huyu alikuwa fresh kuliko hata Moloko.
Ni Kweli ila Kwasasa Acha Aende Tu, Farid Na Lomalisa Wanatosha Kwenye Ule Upande Wa Kushoto, Mwingine Ambae Natamani Apewe Mkono Wa Kwaheri Kule Upande Wa Kushoto Ni Yule Bryson David Mi Naona Anatuzingua Tu.Jamani huyu mbona kama bado alikuwa anatufaa? Au mnaonaje?
View attachment 2295289
Kwa upande wangu bora Chico Ushindi kwani anaonekana akipewa nafasi ana kitu tofauti na Moloko.Ivi Kati Ya Moloko Na Chico Ushindi Ni Nani Anafaa Kubaki Pale? Maana Nikivaa Viatu Vya Nabi Napata Kigagaziko Ni Nani Wa Kumuacha [emoji16]
Ni Kweli Chico Ana Vitu Mguuni Lakini Nae Namuonaga Kama Sio Mtu Wa Kujituma Kabisa Hasa Timu Inaposhambuliwa Unaweza Usimuone Kabisa Kama Wenzie Sijui Ana Shida Gani.Kwa upande wangu bora Chico Ushindi kwani anaonekana akipewa nafasi ana kitu tofauti na Moloko.
Moloko anacheza kama David Mjanja mbio tu hajui goli lilipo, cross wala pasi mpenyezo.Ivi Kati Ya Moloko Na Chico Ushindi Ni Nani Anafaa Kubaki Pale? Maana Nikivaa Viatu Vya Nabi Napata Kigagaziko Ni Nani Wa Kumuacha [emoji16]
Cha ajabu ndo wamembakiza Shem. Chico ameachwa.Moloko anacheza kama David Mjanja mbio tu hajui goli lilipo, cross wala pasi mpenyezo.
Anakimbia kimbia tu kama Mrisho Ngassa.Cha kushangaza Moloko bado yupo huku kiukweli simuonagi kama huwa ana maajabu.
Jamani huyu mbona kama bado alikuwa anatufaa? Au mnaonaje?
View attachment 2295289
Hawa wote walitakiwa kupigwa chini ila Moloko kabebwa na mkataba uluobaki.Kwa upande wangu bora Chico Ushindi kwani anaonekana akipewa nafasi ana kitu tofauti na Moloko.