Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20220718_143902.jpg
 
Kwa upande wangu bora Chico Ushindi kwani anaonekana akipewa nafasi ana kitu tofauti na Moloko.
Ni Kweli Chico Ana Vitu Mguuni Lakini Nae Namuonaga Kama Sio Mtu Wa Kujituma Kabisa Hasa Timu Inaposhambuliwa Unaweza Usimuone Kabisa Kama Wenzie Sijui Ana Shida Gani.
 
Back
Top Bottom