Moloko kwenye mechi hizi chache za msimu huu kwanzia ile ya ngao ya jamii kakiwasha mno. Kisinda niliyemuona akiwa Berkane, Sio Kisinda yule aliyekuwa Yanga hapo awali. Naona tunafanya kosa lile lile kama la Makambo kwa kukariri mchezaji atarejea na ubora ule ule aliyoondoka naoMoloko
Muda ni mwalimu mzuri mkuu na haina haja ya kujudge mapema tusubiriMoloko kwenye mechi hizi chache za msimu huu kwanzia ile ya ngao ya jamii kakiwasha mno. Kisinda niliyemuona akiwa Berkane, Sio Kisinda yule aliyekuwa Yanga hapo awali. Naona tunafanya kosa lile lile kama la Makambo kwa kukariri mchezaji atarejea na ubora ule ule aliyoondoka nao
Tulia.Moloko kwenye mechi hizi chache za msimu huu kwanzia ile ya ngao ya jamii kakiwasha mno. Kisinda niliyemuona akiwa Berkane, Sio Kisinda yule aliyekuwa Yanga hapo awali. Naona tunafanya kosa lile lile kama la Makambo kwa kukariri mchezaji atarejea na ubora ule ule aliyoondoka nao
Kambole anapishaMoloko
Moloko kwenye mechi hizi chache za msimu huu kwanzia ile ya ngao ya jamii kakiwasha mno. Kisinda niliyemuona akiwa Berkane, Sio Kisinda yule aliyekuwa Yanga hapo awali. Naona tunafanya kosa lile lile kama la Makambo kwa kukariri mchezaji atarejea na ubora ule ule aliyoondoka nao
Kambole anapisha
Kwa nini?Hivi ni kweli nabi hatokuwepo benchi?
Inner Brain zeroZalan 2-0 Yanga
Kichwani umejaza makamasi wewe unafikri una ubongo![emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 2353541
Kileleni Kuna baridi au jotoNawasalimia Wananchi wenzangu i hope mko salama.
Naona tupo kileleni hii inapaswa tubakie hapo mpaka ligi inaisha.
#DaimaMbeleNyumaMwiko