Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Wanayanga wameshatoa sana maoni yao kuwa Bangala acheze katikati no.6 badala ya kuwekwa kama beki wa nyuma STILL ni kama Nabbi haelewiNi kweli usemalo Mkuu kocha aijaribu hii huenda ikaleta mabadiliko pale nyuma aisee.
Brazil???Kuna wakati nawaza, Yanga wana rangi rasmi yaani kijani, njano, nyeudi na blue.
Kwa nini kusiwe na jezi ya blue na nyeusi au blue na kijani?
Ukichunguza sana timu zinazotumia njano na kijani hazina mafanikio sana kivile ukilinganisha na red, blue white au mchanganyiko wa hizo
Anaumwa uyo, muulize Mamelodi Sundown wanatumia jezi gn.Brazil???
UKWELI NI KWAMBA MCHEZO WA JANA NDIYO MCHEZO ULIOKUWA RAISI ZAIDI KWA SIMBA KUSHINDA KUTOKANA NA YANGA KUELEKEZA NGUVU NA AKILI ZAO KWA CLUB AFRICA.
JAN A YANGA HAWAKUCHEZA KABISA MPIRA WAO ULE WA PASI NYINGI,KASI YA 5G NA MBINU ZA MAANGAMIZI.
YOTE KWA YOTE,YANGA INAPOTEA SANA KWENYE COUNTER ATTACK.MECHI YA 3 MFULULIZO ANAFUNGWA KWA COUNTER ATTACK.
AmenMwenye Kikosi kinachoanza LEO wakuu
Amina. Mungu atujalie tufanikiweKama kawaida leo tunazihitaji points tatu zingine muhimu toka Geita Gold.
View attachment 2401029
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
InshaAllah Mkuu.
Kama kawaida leo tunazihitaji points tatu zingine muhimu toka Geita Gold.
View attachment 2401029
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Ndio ndio Mkuu.Uhakika Leo Points 3 Tunazichukua. [emoji1377]
Kikosu chetu cha leo Timu ya Wananchi.
View attachment 2401162
Kila La Heri Timu Ya Wananchi [emoji172][emoji169]