Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Refa kashakunja kibahasha chake anafunika tu penalty [emoji23][emoji23][emoji23]
MbelekooooooNadhani ni namna yule Mama alikuwa amesimama ndio sababu akadhania ule mpira umeshikwa ndani ya box kumbe ni nje.
Hamna mbeleko hapo hiyo kwangu naiona ni moja kati ya Mistakes za kawaida ambazo huwa marefa wanazifanya hasa kwenye hili soka letu lisilo na zile mashine za VAR.Mbelekoooooo
Mtajijua wenyewe na mataahira wenu wa tff
Toa takataka hiyo makambo, afadhali limetoka
Moyoni kanafsi kankusuta unbeaten hainogi kwa kubebwa [emoji23][emoji23]
Wapambane na hali yao, Mtibwa wanawasubili.wanangu wa jangwani tule,tunywe,tufanye mapenzi,tulale.Tukiamka turudie hayo...tuwaache makolo wahangaike na suruali la mgunda😁
Hamna mbeleko hapo hiyo kwangu naiona ni moja kati ya Mistakes za kawaida ambazo huwa marefa wanazifanya hasa kwenye hili soka letu lisilo na zile mashine za VAR.
Mbona hapo karibu msogeze kati kati ya uwanja
Mbona hapo karibu msogeze kati kati ya uwanja