Replacement ya mpemba katika eneo la kiungo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari za fei kwisha,huyu alimwagwa huko azam alikuwa hana nafasi ktk kikosi nyie mmeokota dah
OKOTA OKOTA FC
GRACE ZOA ZOA FC
UTOPOLO FC
KINYE FC
WEHU FC
WAJINGA FC
VIJORA FC
.
,
.
.
.
.
Ni Bora huyu kuliko ZAWADI kwenye kushambuliaShwaaaa..! [emoji23]View attachment 2467975
Box to box midfielderβKanoute + Mzamiru + Mkude = Mudathir Yahya
Box to box midfielder[emoji736]
SHIDA YA KUAGIZA VITU ONLINE UNAAGIZA AKAMINKO UNALETEWA MUDATHIR MABANGE [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πππWatapata Tabu Sana Mbwa Walee.. [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Box to box midfielder[emoji736]
Nimekoma mimi nimekoma kuagiza vitu kikuu?????SHIDA YA KUAGIZA VITU ONLINE UNAAGIZA AKAMINKO UNALETEWA MUDATHIR MABANGE [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niambie namna mlivyowapata Bocco, Manula na Kapombe. Usisahau hata Sureboy alitemwa sisi tukaokota dhababu sasa hivi ana medali ya ligikuu na Azam. Na anakiwasha kwelikweli.Replacement ya mpemba katika eneo la kiungo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari za fei kwisha,huyu alimwagwa huko azam alikuwa hana nafasi ktk kikosi nyie mmeokota dah
OKOTA OKOTA FC
GRACE ZOA ZOA FC
UTOPOLO FC
KINYE FC
WEHU FC
WAJINGA FC
VIJORA FC
.
,
.
.
.
.
Hapo unavyoongea unaona aibu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mchezaji aliyekosa namba azam unafananisha na ukuta wa berlin unaaongozwa na Puttin?
Huyo umfananishe na Mzamiru si unaonekana kichaa....
Hapo mmeongeza watu wa kukaa bench tu
Hapo unavyoongea unaona aibu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mchezaji aliyekosa namba azam unafananisha na ukuta wa berlin unaaongozwa na Puttin?
Huyo umfananishe na Mzamiru si unaonekana kichaa....
Hapo mmeongeza watu wa kukaa bench tu
Naipenda Yanga, ila huyu jamaa sijawahi muelewa hata siku moja, sijawahi ona kuwa ni kiungo anayekuja kutusaidia sana.Shwaaaa..! [emoji23]View attachment 2467975