Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ko badala ya akaminko na bobosi ndio mmeletewa huyo mpemba mjinga mjinga??
 
Hapo unavyoongea unaona aibu[emoji23][emoji23][emoji23]

Mchezaji aliyekosa namba azam unafananisha na ukuta wa berlin unaaongozwa na Puttin?
Huyo umfananishe na Mzamiru si unaonekana kichaa....

Hapo mmeongeza watu wa kukaa bench tu
Mla-mnyama yuko nyuma yako
 
Mwenye Nyimbo ya Rose Muhando Nibeeebee Nibeeebee
Naomba anitumie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Unamtoaje Farid kiraka unamuacha kambole ambaye game imemkataa kabisa
Utakua unatania kabisa kwamba kacheza vibaya, sema tu kulikua hamna watengenezaji wa mipira kutoka kwa viungo kilichotusaidia tumeshinda ni timu ilikua ikipoteza mpira wachezaji wote walikua wanakaba haraka dakika zote hawajapumzika.

Pia hii ni mechi yake ya kwanza na kakutana na wajinga wale wanalinda wote nyuma kule wanatufanyia mashambulizi ya kushitukiza, ngoja nikutajie walio kua wanazingua kwa upande wangu

1- mzize
2- ngushi

Hao wawili sio kwamba wamecheza vibaya sana ila waalikua na makosa ya mara kwa mara pia ambundo kazingua sema sija muweka pamoja na hao wa juu sababu ya goal alilofunga ila mbele kule zile nafasi kapoteza kijinga sana.
 
Muongeze Bryson hapo kwenye wazinguaji
 
Haya tumekusikia msemaji wa madunduka f.c
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…