Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mwenye Nyimbo ya Rose Muhando Nibeeebee Nibeeebee
Naomba anitumie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Unamtoaje Farid kiraka unamuacha kambole ambaye game imemkataa kabisa
Utakua unatania kabisa kwamba kacheza vibaya, sema tu kulikua hamna watengenezaji wa mipira kutoka kwa viungo kilichotusaidia tumeshinda ni timu ilikua ikipoteza mpira wachezaji wote walikua wanakaba haraka dakika zote hawajapumzika.

Pia hii ni mechi yake ya kwanza na kakutana na wajinga wale wanalinda wote nyuma kule wanatufanyia mashambulizi ya kushitukiza, ngoja nikutajie walio kua wanazingua kwa upande wangu

1- mzize
2- ngushi

Hao wawili sio kwamba wamecheza vibaya sana ila waalikua na makosa ya mara kwa mara pia ambundo kazingua sema sija muweka pamoja na hao wa juu sababu ya goal alilofunga ila mbele kule zile nafasi kapoteza kijinga sana.
 
Muongeze Bryson hapo kwenye wazinguaji
 
Replacement ya mpemba katika eneo la kiungo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari za fei kwisha,huyu alimwagwa huko azam alikuwa hana nafasi ktk kikosi nyie mmeokota dah

OKOTA OKOTA FC
GRACE ZOA ZOA FC
UTOPOLO FC
KINYE FC
WEHU FC
WAJINGA FC
VIJORA FC
.
,
.
.
.
.
Haya tumekusikia msemaji wa madunduka f.c
 
Haya ndo matokeo ya mechi yetu ya jana huko Mapinduzi Cup.
Screenshot_20230105-061230_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom