Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
KONDE BOY WANAOMSUBIR UTOPOLO NI YULE WA AMELOWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mdomo koma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nabi awawekee lile kosi lililokipiga na LAMBALAMBA.Ile siku ya kisasi si ndo imefika jamani. Wapi Ihefu. [emoji126]
View attachment 2483297
Kwa Kikosi cha leo haitawezekana kuwa kama kile kilichokipiga na Lambalamba kwani kuna wachezaji watatu ambao siku ile walianza lakini leo imeshawekwa wazi kwamba watakosekana.Nabi awawekee lile kosi lililokipiga na LAMBALAMBA.
Hahahaaa. Lol.Uzi umekuwa mchungu kwa wauza unga.
Kajitahidi sana jana yaani. Utadhania hakuwa mgeni kwenye kikosi.Yule Mudathir Yahya ilikuaje akakosa timu kwa miezi 6? Jamaa kakiwasha sana
Nisiwe muongo sijawahi kuona ubaya wa BigirimanaKisinda na Bigirimana wanastahili nao kupewa mkono wa kwaheri