Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Ni mchezaji mzuri lakini sio kwa Yanga. Ana kiwango cha kawaida kinachofaa kuchezewa timu kama Namungo, Kagera na kadhalika sio YangaSaa nyingine mpira tujifunze kumtazama mchezaji kwa jicho lingine na pia haukumiwe kwake kwa kupewa game time za kutosha. Kuna watu walipiga kelele Lomalisa tumepigwa tumpe mkono wa baibai lakini saivi Lomalisa anawasha moto. Birigimana kama ukimuangalia kwa jicho la kimpira ni mchezaji mzuri sana ila tu kocha hajataka kumuamini.
Mchezaji kama Bigi utayaona hayo akicheza midtable teams. Ila kwa tunakoelekea hasa michuano ya kimataifa tujiroge tumuanzishe. Tutalia na kusagaYes, key passes, cross, corner yupo on-time
timu ya Taifa ya kwao anacheza vizuri tu tena AFCON alikuwepo tupunguze nongwaMchezaji kama Bigi utayaona hayo akicheza midtable teams. Ila kwa tunakoelekea hasa michuano ya kimataifa tujiroge tumuanzishe. Tutalia na kusaga
Dstv channel 223YANGA TV CHANNEL NAMBA NGAPI!??[emoji849][emoji849][emoji849]
Even I, wanaosema mbovu sijui wanatumia kigezo gn. Jamaa hachezi mara kwa mara ila akicheza haaribu, watu upuuzi anaofanya Ambundo hawauoni ila wanamuona Kisinda na Bigirimana.Nisiwe muongo sijawahi kuona ubaya wa Bigirimana
Umeona sasa, Makambo na Ambundo mtu anasema bora Ambundo, duh [emoji849][emoji849][emoji849]Ni sahihi na ndio mana sijasema mahala hatufai au hafai elewa hapo mchezaji ambaye nasem hafai kabisa
Kwanza makambo
Pili makambo
Tatu makambo
Ambundo ni mzuri ila hana utulivu papapapapapakuku nyingi
Hakuna nongwa mkuu. Kiukweli yule ni average player sio top midfielder kusema anaweza kuwa tishio na kuchukua nafasi au akavaa viatu vya mchezaji wa fisrt team.timu ya Taifa ya kwao anacheza vizuri tu tena AFCON alikuwepo tupunguze nongwa
Kisinda BIG NO.Kisinda kacheza kitu gani yeye ndio ametucheleweshea ushindi. Kwa mchezaji aina yake alipaswa awe hata na assist 5 ila kila akipata mpira anafikiria kufunga yeye ma wakati wakina Mayele unakuta wapo kwenye position
Watu wanafuata mkumbo wa wachambuzi nzala! Sijaona ubaya wa Kisinda!Jana kisinda kacheza jaman
Wangapi humu walimkataa Lomalisa mwanzoni? Una muhukumu Birigimana kwa meichi ngapi alizocheza?Ni mchezaji mzuri lakini sio kwa Yanga. Ana kiwango cha kawaida kinachofaa kuchezewa timu kama Namungo, Kagera na kadhalika sio Yanga
Kisinda saw hizi anarejea kwenye kiwangoJana kisinda kacheza jaman
Moloko ni mtu muhimu sana kwetuBigirimana mzr sn, mtulivu na ana fighting spirit.....kisinda na moloko ndio wanazngua, hasa kisinda ni mchoyo, hafany chchte uwanjani....lkn tumuachie nabi aamue na viongozi wasimuingilie
Kwa hiyo kwakua watu kadhaa walimkataa mchezaji halafu saivi anacheza vizuri ndio inamaana gani yani kwa Bigirimana? Unazungumza mambo mawili tofauti?Wangapi humu walimkataa Lomalisa mwanzoni? Una muhukumu Birigimana kwa meichi ngapi alizocheza?
Kwa sasa Bigirimana hana uwezo wa mauya au nashona Mzee baba. Jambo lililo wazi ni kuwa bigirimana aliwahi kuwa mchezaji mzuri hapo zamani na sio sasa.Kwa hiyo kwakua watu kadhaa walimkataa mchezaji halafu saivi anacheza vizuri ndio inamaana gani yani kwa Bigirimana? Unazungumza mambo mawili tofauti?
Kabla hujaniuliza kwa mechi ngapi alizocheza jiulize kwanini mechi alizocheza unazitafuta kwa tochi? Bigirimana ni mchezaji wa kawaida ambaye tunaweza muweke mzani sawa na kina Mauya au hata Kevin Nashon
Ajabu kwenye jukwaa lenu hamukanyagi kabisa mpka pameota majani
Shida ya Moloko ni nguvu! Kusema kweli hakana msosi! Sijui wakape lishe gani kajenge mwili! Mpira wenyewe kanaujua!Moloko ni mtu muhimu sana kwetu
Mlisema hv hv kwa Lomalisa, mkasahau kwamba sio mchezaji wa kitanzania yule useme atabaki hivyo hivyo siku zote.Hakuna nongwa mkuu. Kiukweli yule ni average player sio top midfielder kusema anaweza kuwa tishio na kuchukua nafasi au akavaa viatu vya mchezaji wa fisrt team.
Ndio maana anaanza mechi za FA na hizi nyingine anatokea bench napo mara mojamoja.
Nmetoka kusema hivyo hivyo mkuu.Wangapi humu walimkataa Lomalisa mwanzoni? Una muhukumu Birigimana kwa meichi ngapi alizocheza?
Unachanganya mambo. Sijawahi kusema chochote kuhusu Lomalisa kama una ushahidi letea hapa comment yangu ikimuongelea vyovyote Lomalisa.Mlisema hv hv kwa Lomalisa, mkasahau kwamba sio mchezaji wa kitanzania yule useme atabaki hivyo hivyo siku zote.