Leo wydad, wamenusa pumzi ya moto, kama yanga alivyonusa.Daah! Ama kweli mpira kuna saa unadunda Mtani.
Hongereni.
Na kule kwao mukafanye vivyo hivyo.Leo wydad, wamenusa pumzi ya moto, kama yanga alivyonusa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1]mkuu unataka zawadi mauya aanzeShida ya Yanga ni UCHOYO wa wachezaji na kukosa nafasi nyingi hasa MAYELE.
Kama leo mm ningekuwa Kocha basi Mayele angeanza Benchi na Namba 9 ningemuweka MUSONDA, 10 AZIZ KI, 11 MORRISON, 7 KISINDA.
Game ya Leo, MOLOKO haimfai kwa maana inahitajika zaidi ENERGY.
Kikosi natarajia kiwe hivi.
1. DIARRA
2. DJUMA
3. LOMALISA
4. BACCA
5. BANGALA.
6. MAUYA
7. KISINDA
8. AUCHO
9. MUSONDA
10. AZIZ KI
11. MORRISON
Tunawadharau sana MAUYA na KISINDA but kwenye game zinazohitaji ukabaji wa maana hao wanasaidia kuliko SUREBOY na MOLOKO.
MAYELE uchoyo sana, game nyingi Yanga imekosa matokea mazuri zaidi kwa uchoyo wake.
Nakubali.Shida ya Yanga ni UCHOYO wa wachezaji na kukosa nafasi nyingi hasa MAYELE.
Kama leo mm ningekuwa Kocha basi Mayele angeanza Benchi na Namba 9 ningemuweka MUSONDA, 10 AZIZ KI, 11 MORRISON, 7 KISINDA.
Game ya Leo, MOLOKO haimfai kwa maana inahitajika zaidi ENERGY.
Kikosi natarajia kiwe hivi.
1. DIARRA
2. DJUMA
3. LOMALISA
4. BACCA
5. BANGALA.
6. MAUYA
7. KISINDA
8. AUCHO
9. MUSONDA
10. AZIZ KI
11. MORRISON
Tunawadharau sana MAUYA na KISINDA but kwenye game zinazohitaji ukabaji wa maana hao wanasaidia kuliko SUREBOY na MOLOKO.
MAYELE uchoyo sana, game nyingi Yanga imekosa matokea mazuri zaidi kwa uchoyo wake.
Ofcourse, ni bora sana kwenye kukaba. Ni aina ya wachezaji ambao mara kibao tunawadharau ila wanafanya kazi kubwa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1]mkuu unataka zawadi mauya aanze
I concur with youShida ya Yanga ni UCHOYO wa wachezaji na kukosa nafasi nyingi hasa MAYELE.
Kama leo mm ningekuwa Kocha basi Mayele angeanza Benchi na Namba 9 ningemuweka MUSONDA, 10 AZIZ KI, 11 MORRISON, 7 KISINDA.
Game ya Leo, MOLOKO haimfai kwa maana inahitajika zaidi ENERGY.
Kikosi natarajia kiwe hivi.
1. DIARRA
2. DJUMA
3. LOMALISA
4. BACCA
5. BANGALA.
6. MAUYA
7. KISINDA
8. AUCHO
9. MUSONDA
10. AZIZ KI
11. MORRISON
Tunawadharau sana MAUYA na KISINDA but kwenye game zinazohitaji ukabaji wa maana hao wanasaidia kuliko SUREBOY na MOLOKO.
MAYELE uchoyo sana, game nyingi Yanga imekosa matokea mazuri zaidi kwa uchoyo wake.
Mauya hamna kitu kaka tusijidanganye, hana pumzi pia umri umeenda. Ukitaka mafanikio kwenye timu wachezaji wa kibongo wasizidi watatu kwenye first eleven.Ofcourse, ni bora sana kwenye kukaba. Ni aina ya wachezaji ambao mara kibao tunawadharau ila wanafanya kazi kubwa.