All da best Young Africans, we love you our team
Ndio ndio Mkuu. Mpaka sasa ni kuzitumia vizuri hizi dakika 10 zilizobakia.Tunashinda hii game insha'Allah
[emoji172][emoji169]
Mungu kasikia kilio chetu [emoji169][emoji172][emoji28]Ndio ndio Mkuu. Mpaka sasa ni kuzitumia vizuri hizi dakika 10 zilizobakia.
Nadhani wachezaji wakumbuke ila game ya Bamako jinsi ilivyotugharimu dakika za mwisho.
Hakika Mkuu hapa imebakia kumalizia Mkia tu kwa Mkapa.Mungu kasikia kilio chetu [emoji169][emoji172][emoji28]
Amka utajinyea bureMnafungwa leo hakuna jipya