Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ungewaona walivyofurahia utasema wanawaweza sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wamepanga mabeki watupu
 
Screenshot_20230423-165312_Instagram.jpg
 
Pipa na mfuniko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Bora nicheki game ya west ham
 
Tunashinda hii game insha'Allah
[emoji172][emoji169]
Ndio ndio Mkuu. Mpaka sasa ni kuzitumia vizuri hizi dakika 10 zilizobakia.

Nadhani wachezaji wakumbuke ila game ya Bamako jinsi ilivyotugharimu dakika za mwisho.
 
Back
Top Bottom