Historia imeandikwa.Hatimaye tumeingia Semi Final kombe la Shirikisho Barani Afrika.
View attachment 2605684
Kabisa Mkuu.Historia imeandikwa.
Badilisha rangi kwa wana semi final itapendeza.Tuko nusu fainali. Simba hawajui maana ya nusu fainali. Wapenu shule waelewe View attachment 2607207
Tunahitaji points tatu muhimu hapo 16:00Hrs ili kuukaribia ubingwa kwa mara ya pili mfululizo.
Kila la kheri Timu ya Wananchi.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Hiko apo chini Mkuu.kikosi kinachoanza Leo??
shukrani shade so mbaya tunashinda leoHiko apo chini Mkuu.
Itakuwa poa sana Mkuu.shukrani shade so mbaya tunashinda leo
Wazee wa kufa kiume. 🤣🤣Ndo ile siku ya makolo kubana mbupu sasa
Wanaongea sana hao jamaa dah bora wawe wanafungwa fungwa mji upoeWazee wa kufa kiume. 🤣🤣