Tunaanzia home!Nasikia na Final kuna home & away hivyo sisi Timu ya Wananchi tunànzia wapi?
Tunaanzia nyumbaniTunaanzia ugenini tunamaliza kwa mkapa
Nasikia na Final kuna home & away hivyo sisi Timu ya Wananchi tunànzia wapi?
Yes atakosaHivi Aucho si ataikosa mechi ya kwanza ya fainali? Au ipoje
Lini?Tunaanzia home!
28th MayLini?
Hahahaa! Hamna vigezo zaidi ya vile vinavyofanya uweze kuingia nchi nyingine kihalali. 🤣🤣Jamani eee Mimi shabiki kwenda kwenye fainali uko USMA natakiwa kuwa na kigezo gani?
Kiukweli Mama anaupiga mwingi. 😀Goli la Mama 20m each goli..
Duuh! Inabidi tupate magoli ya kutosha ili kujihakikishia ubingwa tukifika kule Algeria.Game inaanzia home
Safi sana.Mama atatoa ndege itakayotumika kuwasafirisha YANGA huko kunako finaleee
Inatakiwa uwe na jezi ya yanga ya mwaka 1992Jamani eee Mimi shabiki kwenda kwenye fainali uko USMA natakiwa kuwa na kigezo gani?
KwakweliDuuh! Inabidi tupate magoli ya kutosha ili kujihakikishia ubingwa tukifika kule Algeria.
28 May 2023!Lini?