Kusaini haimaanishi wala hailazimishi kuwa wapo Tanzania. Akina Mayele walisaini wakiwa Congo, yaani walifuatwa. Aziz Ki alisaini akiwa na mama yake huko Ouagadougou. Wote hao waliwasili Bongo baadaeTaarifa imewekwa wazi kabisa na msemaji wa Yanga kuwa wachezaji wote waliotakiwa na Yanga kusajiliwa, wameshasaini kilichobakia ni utambulisho tu ambao utafanyika sambamba na uzinduzi wa jezi.
Wapi ulipoambiwa kuwa wamesajiliwa na wapo Tanzania?Kusaini haimaanishi wala hailazimishi kuwa wapo Tanzania. Akina Mayele walisaini wakiwa Congo, yaani walifuatwa. Aziz Ki alisaini akiwa na mama yake huko Ouagadougou. Wote hao waliwasili Bongo baadae
Ndio wanaoiweza KAZI.Wafupi fc
Vijeba fc
Waluguru
Hivi vichezaji vya kitanzania vingi ni vifupi tusivipe nafasi sn, huyo kibabage sijui sikupenda kabisa asajiliwe Yanga, hii ni timu kubwa kuliko zote hapa Tanzania na Afrika mashariki na kati kwa sasa, tuangalie aina ya watu tunaosajili sio uchafu wa hovyo, ikibidi kama itatulazimu kusajili mchezaji wa kitanzania kama yupo Simba au Azam twende tukawachukue huko huko mana hakuna mchezaji asiyependa kucheza Yanga kwa sasa, sio kuchukua vichezaji ili mradi tuu, tusisahau standard yetu tumei set wapi kimataifa, hawa kina kibabage watatuangusha hawa.Yanga iachane na wachezaji wafupi sasa. Tunatumia nguvu kubwa sana kushinda game rahisi.
Saa kumiMechi ya leo saa ngapi wakuu?
Ziko kwa wagangaJitihada zenu ziko wapi za kuizuia Yanga msimu ujao isifanye kama ilivyofanya msimu huu.
Mkuu kibabange kacheza hadi ligi ya morocco,si mchezaji mbaya kwa wachezaji wa ndaniHivi vichezaji vya kitanzania vingi ni vifupi tusivipe nafasi sn, huyo kibabage sijui sikupenda kabisa asajiliwe Yanga, hii ni timu kubwa kuliko zote hapa Tanzania na Afrika mashariki na kati kwa sasa, tuangalie aina ya watu tunaosajili sio uchafu wa hovyo, ikibidi kama itatulazimu kusajili mchezaji wa kitanzania kama yupo Simba au Azam twende tukawachukue huko huko mana hakuna mchezaji asiyependa kucheza Yanga kwa sasa, sio kuchukua vichezaji ili mradi tuu, tusisahau standard yetu tumei set wapi kimataifa, hawa kina kibabage watatuangusha hawa.
Edo kumwembe anasema wakati Yanga wanawaza mambo makubwa, Simba wanaiwaza Yanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ziko kwa waganga
Ngoja tuone mkuu.Mkuu kibabange kacheza hadi ligi ya morocco,si mchezaji mbaya kwa wachezaji wa ndani
Asante mkuuSaa kumi
Yan wako hivyo,kila wanachofanya now wanafikiria kufanya kama walichofanya Yanga,nasikia baada ya jana Yanga kuzindua jezi wakiwa malawi na mikia nao watazindua jezi zao wakiwa uturuki 😀😀Edo kumwembe anasema wakati Yanga wanawaza mambo makubwa, Simba wanaiwaza Yanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hali ni mbaya sana kwa jirani, wanashindwa kuamini jinsi Yanga ilivyowapiga bao, Simba inaendeshwa kihuni huni kama mdhamini wao Mo anavyoendesha kampuni zake, ile tabia ya kumcopy Bakhressa kaihamishia msimbazi, now wana copy na ku paste kila kinachofanywa na Yanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yan wako hivyo,kila wanachofanya now wanafikiria kufanya kama walichofanya Yanga,nasikia baada ya jana Yanga kuzindua jezi wakiwa malawi na mikia nao watazindua jezi zao wakiwa uturuki [emoji3][emoji3]
Mama yetu wa Dp world anaipenda sana Yanga yetu