Hata hicho ulichozungushia hakijataja timu bali host football association ambayo kwetu ni TFF! Sasa hilo la timu iliulizwa tutakuwa tunakisia tu!Huyo ni Ally Kamwe ila hii hapa chini ni sheria ya CAF inavyosema. Sasa je Ally Kamwe anataka kusema sheria za CAF ni za uongo?
Mkuu pengine unaumua kubishana tu ila kama unatumia akili sawa sawa utaona kazi ya hiyo association ni kupeleka taarifa CAF baada ya timu husika kupanga. jaribu kufanya hata reasoning kidogo, kati ya Shirikisho la soka la Sudan na Al Mereikh ni nani aliyeamua Al Mereikh kutumia Rwanda kama uwanja wao wa nyumbani kucheza dhidi ya Yanga?Hata hicho ulichozungushia hakijataja timu bali host football association ambayo kwetu ni TFF! Sasa hilo la timu iliulizwa tutakuwa tunakisia tu!
Siyo kubishana mkuu shida inakuja kwenye lugha iliyotumika kwenye hicho kifungu kwamba "time will be fixed by the host association". Sasa wewe hayo maneno ya timu itaamua muda umeyatoa wapi? Ila kama kweli timu inaamua basi viongozi wetu nao hawajiongezi!Mkuu pengine unaumua kubishana tu ila kama unatumia akili sawa sawa utaona kazi ya hiyo association ni kupeleka taarifa CAF baada ya timu husika kupanga. jaribu kufanya hata reasoning kidogo, kati ya Shirikisho la soka la Sudan na Al Mereikh ni nani aliyeamua Al Mereikh kutumia Rwanda kama uwanja wao wa nyumbani kucheza dhidi ya Yanga?
TP Mazembe alikuja Tanzania kutumia uwanja wa Mkapa kama ndio uwanja wao wa nyumbani, unataka kusema uchaguzi wamefanyiwa na association yao ya Congo? Yanga iliiamua kupeleka mechi yao ya Pyramids tena wakataka ichezwe mchana kabisa, je hayo maamuzi waliamuliwa na TFF?
Kuna timu zinaamua mechi zao zote mbili zichezwe huko huko kwa mgeni wake mfano Zalan, Asas, n.k
Na ndio maana nikakuuliza maswali madogo tu ya uelewa. Kati ya Yanga na TFF ni nani aliyepeleka mechi dhidi ya Pyramids kule CCM Kirumba?Siyo kubishana mkuu shida inakuja kwenye lugha iliyotumika kwenye hicho kifungu kwamba "time will be fixed by the host association". Sasa wewe hayo maneno ya timu itaamua muda umeyatoa wapi? Ila kama kweli timu inaamua basi viongozi wetu nao hawajiongezi!
Mwenyeji anaruhusiwa kuomba mechi ichezwe muda fulani na uwanja fulani,lakini wao CAF ndiyo utoa maamuzi ya mwisho.Hivi kumbe huwa ndo iko hivi?
Mi nikawa najua mwenyeji ndo anachagua acheze mechi saa ngapi.
Kumbe!Basi labda viongozi wameona muda huo wa saa 1 usiku ni bora.Tuwaache wafanye kazi zao.Hapana mkuu sio hivyo, swala la muda lipo chini ya wenyeji wenyewe (TFF na Yanga)
BadoKikosi bado tu?
Hapa ni mauaji tu yanafuata.Kikosi hicho.View attachment 2914891
Saivi BM3 ana enjoy na Yanga tu.Mayele sijui anajisikiaje huko alipo , Hana amani kila post yake insta watu wanamtania vibaya kashapoteza vyeo vyake kwa mashabiki.