Mkuu pengine unaumua kubishana tu ila kama unatumia akili sawa sawa utaona kazi ya hiyo association ni kupeleka taarifa CAF baada ya timu husika kupanga. jaribu kufanya hata reasoning kidogo, kati ya Shirikisho la soka la Sudan na Al Mereikh ni nani aliyeamua Al Mereikh kutumia Rwanda kama uwanja wao wa nyumbani kucheza dhidi ya Yanga?
TP Mazembe alikuja Tanzania kutumia uwanja wa Mkapa kama ndio uwanja wao wa nyumbani, unataka kusema uchaguzi wamefanyiwa na association yao ya Congo? Yanga iliiamua kupeleka mechi yao ya Pyramids tena wakataka ichezwe mchana kabisa, je hayo maamuzi waliamuliwa na TFF?
Kuna timu zinaamua mechi zao zote mbili zichezwe huko huko kwa mgeni wake mfano Zalan, Asas, n.k