Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Huyo ni Ally Kamwe ila hii hapa chini ni sheria ya CAF inavyosema. Sasa je Ally Kamwe anataka kusema sheria za CAF ni za uongo?
Hata hicho ulichozungushia hakijataja timu bali host football association ambayo kwetu ni TFF! Sasa hilo la timu iliulizwa tutakuwa tunakisia tu!
 
Mkuu pengine unaumua kubishana tu ila kama unatumia akili sawa sawa utaona kazi ya hiyo association ni kupeleka taarifa CAF baada ya timu husika kupanga. jaribu kufanya hata reasoning kidogo, kati ya Shirikisho la soka la Sudan na Al Mereikh ni nani aliyeamua Al Mereikh kutumia Rwanda kama uwanja wao wa nyumbani kucheza dhidi ya Yanga?

TP Mazembe alikuja Tanzania kutumia uwanja wa Mkapa kama ndio uwanja wao wa nyumbani, unataka kusema uchaguzi wamefanyiwa na association yao ya Congo? Yanga iliiamua kupeleka mechi yao ya Pyramids tena wakataka ichezwe mchana kabisa, je hayo maamuzi waliamuliwa na TFF?
Kuna timu zinaamua mechi zao zote mbili zichezwe huko huko kwa mgeni wake mfano Zalan, Asas, n.k
 
Siyo kubishana mkuu shida inakuja kwenye lugha iliyotumika kwenye hicho kifungu kwamba "time will be fixed by the host association". Sasa wewe hayo maneno ya timu itaamua muda umeyatoa wapi? Ila kama kweli timu inaamua basi viongozi wetu nao hawajiongezi!
 
Na ndio maana nikakuuliza maswali madogo tu ya uelewa. Kati ya Yanga na TFF ni nani aliyepeleka mechi dhidi ya Pyramids kule CCM Kirumba?
 
Hawa ndio ambao mpaka sasa kwa Msimu huu wamepata haki yao ya Mnara wa 5G kutoka kwa Timu ya Wananchi.

◉ Yanga 5 - 0 KMC
◉ Yanga 5 - 0 JKT Tanzania
◉ Yanga 5 - 1 ASAS 🇩🇯
◉ Yanga 5 - 1 Simba SC
◉ Yanga 5 - 0 Jamhuri
◉ Yanga 5 - 1 Hausing Fc
◉ Yanga 5 - 0 Polisi Tanzania

Waliojipapatua sana waliambulia goli 1 la kufutia machozi. 😂😂
 
HABIB HABIB THALANTA BIN THIFULتينيويتينيظيزينظؤزؤزؤتيتيبنويت mwamnyeto red card,🐸🐸🐸
 
Screenshot_20240224-131853_Instagram.jpg
 
Ninacho mkubali Gamondi halei uzembe hovyo kwa wachezaji ukizingua benchi , nakumbuka ya Ngushi na ile Ihefu baada ya kupanga kike kikosi yanatokea Yale akakomaa na kikosi kazi chake

Nimempa Big up jana alipoanza na Mwamnyeto nje .
 
Back
Top Bottom