Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Chama tu umemsahau Dube, Mzize, Maxi na wengineo.
Ndio wafanya kazi sio majina tuu.. wakaze pumbuz kweli kweli.
Sasa Moja tuu jioni watu tuanzie kuruka na mishangazi ya green and yellow

Tukutane kesho taifa mama yanga
 
Hivi wakuu kwenye kosi letu,injury list ikoje??maana odds za betting companies zinampa favour zaidi mtani,sijui wameona nini!?
 
Ila we Mzab lol.

Hiyo mishangazi ya kuandika tu au ya ukweli ukwelii? 🤣
Ndio wafanya kazi sio majina tuu.. wakaze pumbuz kweli kweli.
Sasa Moja tuu jioni watu tuanzie kuruka na mishangazi ya green and yellow

Tukutane kesho taifa mama yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…