Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Screenshot_20240811_103710_Instagram.jpg
 
Musonda aondoke dirisha dogo hana improvements kila siku kiwango kinadorora.
 
Pacome siku hizi nae kiwango Cha kupoteza mipira kumekuwa kikubwa mno bado hajakuwa fiti vizuri.
 
Pacome siku hizi nae kiwango Cha kupoteza mipira kumekuwa kikubwa mno bado hajakuwa fiti vizuri.
Ile mechi ya Kaitaba wachezaji haikuwakalia tu vizuri, sio Pacome tu bali angalia Dube, Azizi Ki walikuwa na ufanisi mdogo sana uwanjani. Laiti kama watu wangekuwa kwenye kiwango chao cha ufanisi basi kipindi cha kwanza goli zingekuwa 4+
 
Pacome siku hizi nae kiwango Cha kupoteza mipira kumekuwa kikubwa mno bado hajakuwa fiti vizuri.
Pacome hapati muda wa kutosha kama msimu uliopita.. kitendo cha timu kua na namba kumi wawili top kinasababisha Gamond kupanga kikosi hovyo
 
Pacome hapati muda wa kutosha kama msimu uliopita.. kitendo cha timu kua na namba kumi wawili top kinasababisha Gamond kupanga kikosi hovyoa
Mkuu wewe ulitamani kocha apangaje kikosi chake? Pacome na Azizi Ki ndio waliopo kwenye kikosi cha kwanza cha Gamondi, Chama kwenye mechi tough huwezi kuta kaanza lazima aanzie sub. Pengine mna muhukumu Pacome kwenye mechi dhidi ya Kagera, lakini mmeshindwa kuona wachezaji wote wa Yanga hawakucheza katika ubora wao. Kipindi cha kwanza Yanga ilipoteza nafasi nyingi sana za wazi. Kipindi cha pili timu ikapoteana kabisa. Binafsi sijaona kama Pacome kashuka kiwango, ndio naona ndiye mchezaji anayeifanya mpinzani aache mianya.
 
Back
Top Bottom