Na pia walikuwa na bahati sana wale Shem mana walikuwa wanachezea hata tano.Leo wametutendea haki kabisa. Kocha sasa tumuelewe, Gamondi alikuwa anatupoteza.
Uzeni mzizeWananchi
Tunataka bilion 5Uzeni mzize
😄😄😄Tunataka bilion 5
Safari inaendelea.
Kabisa shemela.Safari inaendelea.
Kabisa. Tutaiamua kibabe hii mechi.Jumamosi tunafuzu kibabe, na tutamfanya MC alger Kama tulichomfanya kaka yake CR belouzidad.
Naona ushindi wa magoli kuanzia 3 kwa yanga apo baadae.Kabisa. Tutaiamua kibabe hii mechi.
InshaAllah.Naona ushindi wa magoli kuanzia 3 kwa yanga apo baadae.
Wacha weeeeJumamosi tunafuzu kibabe, na tutamfanya MC alger Kama tulichomfanya kaka yake CR belouzidad.