kuna ule usemi ume trend sanaaa "watapata tabu sana" sasa sijui alie uasisi ana utani na young africa...
Namkumbuka mzee mmoja kijijini kwetu rafiki wa baba angu alikua ni mnazi sana wa yangaa na kumbuka matambo yake eti marehemu pepe Kalee ali itungia wimbo timu moja tuu africa "young africa"...ana imbaa oh...ooh ooohh....yangaaa africaaaaaa Utampendaaa tena akiwa amepiga ulabuuu..........
Nakumbuka udogoni udogon mzee wangu ni mnazi wa simba niliwai sababishaa mzee wangu aka acha kutununulia sodaa familia nzima kisa nil semaa naishabikia yangaa...
Wata pata tabu sanaa....