Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yah mechi ni ngumu
Lakini nikwambie tu hii Simba inafungika.
Kuna sehemu inavuja
Subito uone game Bado siku 12
Ile approach walioingia nayo wakiingia nayo tena tunapoteana mkuu tutaomba mpira uishe. Hatuna kocha wa kutufanya tutembee kifua mbele kwenye mechi kubwa.
 
Viongozi wa Yanga wapewe salute zao, vita wanayopigana nje ya uwanja kuchukua ubingwa ni ngumu mnoπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Kuna wachambuzi wa vimemo vya 10k, kuna TFF na baadhi wa wajumbe wa bodi ya ligi welioko connected na 🦍🦍🦍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…