Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mambo yamenoga apa CCM Kirumba. Hello Tanzania Hello Team ya wananchi
 
Mwinyi Zahera nampenda sana, natamani akabidhiwe Yanga kwa mipango ya muda mrefu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli kabisa japo ndio kama unamsikia saa nyingine anasema viongozi wanamwangusha.

Ila ana hamasa sana kwa wachezaji huyu Baba.
 
Hawa alliance hawana uwezo wa kutufunga kabisa labda waingie 19 uwanjani, mpira tunaocheza apa uwanjani naikumbuka Barcelona ya Pep Guardiola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…