Puddy HAKUNA TIMU INAITWA DAR YOUNG AFRICANSNimeanzisha thread hii kwa ajili ya wanazi wenzangu wa DAR YOUNG AFRICANS. Lakini ikumbukwe kwamba sie ni familia moja hapa JF, kwa hiyo kila mtu ana uhuru wa kuchangia kutoka kila pembe, bila kujali ni SIMBA SCC kama ama la, kama vile siye tunavyochangia kwa watani wetu wa msimbazi (SIMBA SCC)
Karibuni sana.
PDIDY
Tunguli hilo mtani.... Shadeeya[emoji3][emoji3][emoji3] Mtani na hiyo bahati tunakwenda nayo mpaka FINAL.
πππ haijalishi Mtani.
ni kweli ,maisha wakati mwingine yanaongozwa na Bahati,mtani wmaka huu hii nyota ya Bahati inamwangazia..!πππ Mtani na hiyo bahati tunakwenda nayo mpaka FINAL.
Umeonaeee. Mpaka Final hiyo.ni kweli ,maisha wakati mwingine yanaongozwa na Bahati,mtani wmaka huu hii nyota ya Bahati inamwangazia..!
Zamu ya Ndanda leo Shemela.Zamu ya nani leo...........
Kila la heri NdandaKILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI HAPO 16:00HRS DHIDI YA NDANDA.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Ungetuwekea na kikosi chetu cha Ndanda!