Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20190401_120409.jpg
 
Nimeanzisha thread hii kwa ajili ya wanazi wenzangu wa DAR YOUNG AFRICANS. Lakini ikumbukwe kwamba sie ni familia moja hapa JF, kwa hiyo kila mtu ana uhuru wa kuchangia kutoka kila pembe, bila kujali ni SIMBA SCC kama ama la, kama vile siye tunavyochangia kwa watani wetu wa msimbazi (SIMBA SCC)

Karibuni sana.
PDIDY
Puddy HAKUNA TIMU INAITWA DAR YOUNG AFRICANS
KUNA "THE YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB"
 
Ngoja tukajizolee 3 muhimu

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Back
Top Bottom