Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Puddy HAKUNA TIMU INAITWA DAR YOUNG AFRICANSNimeanzisha thread hii kwa ajili ya wanazi wenzangu wa DAR YOUNG AFRICANS. Lakini ikumbukwe kwamba sie ni familia moja hapa JF, kwa hiyo kila mtu ana uhuru wa kuchangia kutoka kila pembe, bila kujali ni SIMBA SCC kama ama la, kama vile siye tunavyochangia kwa watani wetu wa msimbazi (SIMBA SCC)
Karibuni sana.
PDIDY
Tunguli hilo mtani.... Shadeeya[emoji3][emoji3][emoji3] Mtani na hiyo bahati tunakwenda nayo mpaka FINAL.
😀😀😀 haijalishi Mtani.
ni kweli ,maisha wakati mwingine yanaongozwa na Bahati,mtani wmaka huu hii nyota ya Bahati inamwangazia..!😀😀😀 Mtani na hiyo bahati tunakwenda nayo mpaka FINAL.
Umeonaeee. Mpaka Final hiyo.ni kweli ,maisha wakati mwingine yanaongozwa na Bahati,mtani wmaka huu hii nyota ya Bahati inamwangazia..!
Zamu ya Ndanda leo Shemela.Zamu ya nani leo...........
Kila la heri NdandaKILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI HAPO 16:00HRS DHIDI YA NDANDA.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Ungetuwekea na kikosi chetu cha Ndanda!