πππ hizi maneno za kudumaza hata hatuzitaki saa hii.Hahahaa sioni hata dalili ya mfupa love sembuse nyamaπππ
Exactly. Maneno yao ya kuturudisha nyuma hatuyajali.Tunapindua meza kibabe....[emoji107]
Muanguke mara ngapi tena mamii, mbona mlishakufa tangia mechi ya kwanza pale kwa Mkapa!?πππ hizi maneno za kudumaza hata hatuzitaki saa hii.
Kukata tamaa ndio mwanzo wa kuanguka kipenzi.
Sasa huruma inakujaje wakati kama kutolewa hata na wewe Simba ulishatolewa.Nawaonea huruma sana nyie vyura wa jangwani
Tusubiri tuone kipenzi.Muanguke mara ngapi tena mamii, mbona mlishakufa tangia mechi ya kwanza pale kwa Mkapa!?
Mimi ngoja niwe tofauti kidogo, kama Yanga kweli itakua na ubavu wa kupindua meza kibabe na kushinda au ikafanikiwa kufuzu leo,siwezi kusema nitavua nguo au nitaogelea baharini hadi Bgamoyo bali kuna zawadi yako utapata ikiwa imewekwa kwenye mfuko au kifungashio cha rangi ya njanoππππTusubiri tuone kipenzi.
Ewaaaa. Haya ndio maneno na sio mnatukalia kooni kama haiwezekani tukapita mbele ya Zesco.Mimi ngoja niwe tofauti kidogo, kama Yanga kweli itakua na ubavu wa kupindua meza kibabe na kushinda au ikafanikiwa kufuzu leo,siwezi kusema nitavua nguo au nitaogelea baharini hadi Bgamoyo bali kuna zawadi yako utapata ikiwa imewekwa kwenye mfuko au kifungashio cha rangi ya njanoππππ
ShirikishoTUNAGANGA YAJAYO SASA.