Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Dogo nakuona unashabikia chama lako leo, mimi simba wewe yanga lakini toto ni timu yetu ya nyumbani, kwa nini tusiiombee waipige yanga.
 
mzee ras nipe matokeo ya kirumba , simba 2- 0 majimaji
 
wadau kama mnamatokeo ya mwanza tujulisheni,watu tuna presha
 
Mwanza ni dakika ya 27 sasa Toto 0 Yanga 0............Ngoma inogile
 
Kirumba mambo bado magumu kati ya KAKA na MDOGO wake, wanatunishiana.
 
Toto wanazuga, watakuja kuwaachia mashoga zao tu!!.
 
Simba karuhusu kufungwa bao, mwanza bado hawajafungana na ni mapumziko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…