Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kwani Simba ndio nani? Mulibahatisha msimu uliopita mkajua na mwaka huu mutabahatisha.
Usiulize kwa sauti Shadeeya ongea polepole kwa sauti ya chiiini maana Afrika nzima itakushangaa ukisema "Kwani Simba ndio nani" wakati inajulikana kuanzia Mashariki, Magharibi, Kati, Kusini na hata Kaskazini mwa Afrika

Na Simba hawakubahatisha waliobahatisha ni wale waliotutoa kwa ile sare
 
Kijana utajiua kabla ya siku zako kuipenda Yanga. Ile timu haina mpango hata kidogo.
Ingekuwa kujiua ningejiuaga zamani sana Mkuu hasa ile mechi ya Simba na Yanga sijui ya mwaka gani ile ambapo mpaka first half yanga tuliongoza kwa bao 3 kisha second half zikakombolewa zote mana nilipataga maumivu ya ajabu.
 
🀣🀣🀣🀣 Hata sijakuelewa hapa Mkuu.
 
Hahahaaa. Ama kweli kila mwamba ngoma huwa anaivutia kwake siku zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…