Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Hapo bana mimi ndi unaponikosha Shadeeya"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo bana mimi ndi unaponikosha Shadeeya"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Usiulize kwa sauti Shadeeya ongea polepole kwa sauti ya chiiini maana Afrika nzima itakushangaa ukisema "Kwani Simba ndio nani" wakati inajulikana kuanzia Mashariki, Magharibi, Kati, Kusini na hata Kaskazini mwa AfrikaKwani Simba ndio nani? Mulibahatisha msimu uliopita mkajua na mwaka huu mutabahatisha.
Hiyo imani na jeuri ya ushindi mnayojipa sijui mnaitolea wapi maana kwa kikosi chenu hicho mmmhhh!!!Saafi sana. Naimani leo ushindi upo shem na hilo halina ubishi.
Ingekuwa kujiua ningejiuaga zamani sana Mkuu hasa ile mechi ya Simba na Yanga sijui ya mwaka gani ile ambapo mpaka first half yanga tuliongoza kwa bao 3 kisha second half zikakombolewa zote mana nilipataga maumivu ya ajabu.Kijana utajiua kabla ya siku zako kuipenda Yanga. Ile timu haina mpango hata kidogo.
🤣🤣🤣🤣 Hata sijakuelewa hapa Mkuu.Yanga haina mpango wowote, kelele zao ni hapa Tanzania tu tena magazetini na labda CECAFA kidogo. Hivi kati ya Simba na Yanga, ni nani mwenye mataji mengi zaidi CECAFA na ni nani mwenye makombe zaidi ya mwenzie. Jibu liko hapa, tusipende kusifia ujinga wakati ukweli uko dhahiri kabisa.
Hahahaaa. Ama kweli kila mwamba ngoma huwa anaivutia kwake siku zote.Usiulize kwa sauti Shadeeya ongea polepole kwa sauti ya chiiini maana Afrika nzima itakushangaa ukisema "Kwani Simba ndio nani" wakati inajulikana kuanzia Mashariki, Magharibi, Kati, Kusini na hata Kaskazini mwa Afrika
Na Simba hawakubahatisha waliobahatisha ni wale waliotutoa kwa ile sare
Dakika ya saba Yanga 1 - Polisi Tanzania 0
Hahahaaa. Tutawaambia mpira una matokeo matatu Pacha.Yanga 1-Polisi Tz 1
Mkifungwa sijui mtaambia nini watu 😁😁
Pole pacha,karibu team ya mabingwa....bado hatujafunga madirisha ya mashabiki wapya 🤐Hahahaaa. Tutawaambia mpira una matokeo matatu Pacha.
"daima sare au kufungwa ushindi mwiko"
YNWA 😂😂😂"daima sare au kufungwa ushindi mwiko"
Naona uzi wameukimbia kulwa.YNWA 😂😂😂
Yanga'll Never Win Again