kama alivyotabiri Shadeya hapo juu. 1-0Ngapi huko?
Pacha najua utasema nilibahatisha. ππππHahahah eti 1-0
Kila la heri pacha
Haulipiwi kodi eehπ€£π€£π€£?Pacha naona mmeamua kuja kutesekea kwenye uzi wetu. π€£π€£π€£π€£
Haya bana ndio kazi ya mdomo hiyo.
Kama panadol π€£π€£π€£Unakuta mtu shabiki wa yanga na man u πππ
Maumivu kutwa mara tatu teh!!
Mchomoa betri kule Levy MwanawasaMfungaji wa goli la pekee hapo jana. Ndugu Makamee.
Huyu ndugu Makame ndio aliku mchezaji wa kumi na mbili wa Zesco eeh Shadeeya π€£π€£π€£?Mfungaji wa goli la pekee hapo jana. Ndugu Makamee.
Jana eti kawapoza kidogoMchomoa betri kule Levy Mwanawasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana eti kawapoza kidogo